MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,057
- 39,387
mbona nipo hapa nusu saa kablaHapa nilipo, usijifanye hupajui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona nipo hapa nusu saa kablaHapa nilipo, usijifanye hupajui.
W.end hii njoo kabla haujapotezwa.nishamsahau hadi jina
nani wakunipoteza hapa??W.end hii njoo kabla haujapotezwa.
Kwa hiyo unataka mimi nikufundishe namna ya wewe kuithibitisha jinsia yako?unataka nikuthibitieje kwamba mimi mwanamke?
Weka akiba ya maneno Chief.wanaopiga chaputa hawapenda unaweza ukapewa offerUpumbavu ni sifa.. Hali ya kuwa mjinga kupitilza.. Mfano huyo jamaa uko juu amekupa sifa nyingine ya umalaya, kwaiyo kwa ujumla tuna sema wewe ni "MALAYA MPUMBAVU"
umenielewa best yangu?
ikiwezekanaKwa hiyo unataka mimi nikufundishe namna ya wewe kuithibitisha jinsia yako?
Kwanza wote ni feki wameniiga watafute id zao eti katoto kadhuri eti atoto .Zamani hapa jf tulikuwa tunapata taabu na watoto wa sekondari.
Kwa sasa ule usumbufu umehamia kwa madogo waliofunga vyuo na waliohitimu.
katoto kazuri na Atoto msaidieni Katoto kadhuri.
mamy id yako umejiunga mwaka gan? 😂😂Kwanza wote ni feki wameniiga watafute id zao eti katoto kadhuri eti atoto .
Copy and paste mnitoe huko ajisaidiwe na waigaji wenzie
Hivi una haya uwezi hata kutumia akili yako mpaka uige ige tu.ikiwezekana
Kutongozwa hadharani ili ubuni nini?Naona mnalia lia sana pm. Nasikitik kwamba pm huwa sijibu sms au kuendeleza majadiliano huko
Uzi wenu ni huu unaweza kujaribu bahati yako
Karibuni hapa mnitongoze jamani, napenda kutongozwa mie[emoji12]
sasa umekua ugomvi tena kama twagombea bwana? 😂Hivi una haya uwezi hata kutumia akili yako mpaka uige ige tu.
Eti katoto kadhuri copy and kupaste umiza kichwa sio kukopy na kupaste.
faragha ni michosho na viswali swali vyenu. Mwaga hapa hapaKutongozwa hadharani ili ubuni nini?
Kutongozwa ni faragha baina ya watu wawili kwa utamaduni wa nchi hii.
Ni vyema basi ungewapa namba kama umedhamilia.
Au pengine unafanya research?
Ukiwaita kukutongoza, means utamkubali mmoja au zaidiKwani kuna sheria kuwa ukitongizwa lazima ukubali?
Huyo mtongoze wewe...kwakweli bora umejisemea🤣