Kwa wale mabingwa wa kutongoza, huu ndio uzi wenu nitongozeni

Kwa wale mabingwa wa kutongoza, huu ndio uzi wenu nitongozeni

Naona mnalia lia sana pm. Nasikitik kwamba pm huwa sijibu sms au kuendeleza majadiliano huko
Uzi wenu ni huu unaweza kujaribu bahati yako
Karibuni hapa mnitongoze jamani, napenda kutongozwa mie[emoji12]
Sasa si uwaambie watu wako wa karibu huko unakoishi ili wakutongoze?

Au unafikiri wote humu wana akili kama zako?
 
Ndio hivyo mpenzi wangu mfuatiliwa, fanya mpango nikudere live
 
Back
Top Bottom