Kwa wale mabingwa wa kutongoza, huu ndio uzi wenu nitongozeni

Kwa wale mabingwa wa kutongoza, huu ndio uzi wenu nitongozeni

Mimi bado ninacheka sana baadhi wa wachangiaji wa nyuzi kama hizi, mnapokuja na kuanza kumtusi mtoa post. Hivi kawakosea nini hasa? Umefungua na kusoma post wewe mwenyewe, wala hajakushikia bunduki, kisha unamtukana. Kama umeona ni utumbo si umuache akafie mbali? Ubinafsi na wivu unatula bila kujijua.Tujenge tabia ya kuruhusu mitazamo tofauti, na kukubali kuwa duniani tunatofautiana.
TUMEKUZWA KUDHANI BINADAMU TUNAFANANA NA KUFIKIRI SAWA, HUU NI UGONJWA
haya bst wamekuelewa
 
Sasa kama unapenda kutongozwa na washkaji wamekufuata pm wanataka mamboz, kwanini usienjoy kutongozwa hukohuko?
 
Back
Top Bottom