Katoto kadhuri
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 759
- 327
- Thread starter
-
- #81
haya bst wamekuelewaMimi bado ninacheka sana baadhi wa wachangiaji wa nyuzi kama hizi, mnapokuja na kuanza kumtusi mtoa post. Hivi kawakosea nini hasa? Umefungua na kusoma post wewe mwenyewe, wala hajakushikia bunduki, kisha unamtukana. Kama umeona ni utumbo si umuache akafie mbali? Ubinafsi na wivu unatula bila kujijua.Tujenge tabia ya kuruhusu mitazamo tofauti, na kukubali kuwa duniani tunatofautiana.
TUMEKUZWA KUDHANI BINADAMU TUNAFANANA NA KUFIKIRI SAWA, HUU NI UGONJWA
nimekwambia nashida na pesa?Hizo pesa nakutumia tu... Hazihusiani na kukutongoza
Hauna shida mimi si ninakupa zawadi..nimekwambia nashida na pesa?
huko pm mnakuja kulia lia ili mgundue nini?Tukutongoze ili tugundue nini kwa mfano....
nimekwambia nina shida na zawadi?Hauna shida mimi si ninakupa zawadi..
Me hata pm sijui kuitumia mkuu huoni kama una nisingizia mtoto wa mwenziohuko pm mnakuja kulia lia ili mgundue nini?
Hapana mimi ndio nina shida ya kukupa wewe zawadinimekwambia nina shida na zawadi?
wenzako wamekuponza ssMe hata pm sijui kuitumia mkuu huoni kama una nisingizia mtoto wa mwenzio
shida yangu zawadi au kutongozwa?Hapana mimi ndio nina shida ya kukupa wewe zawadi
Mimi nitakusaidia shida yako ya kutongozwa na wewe utanisaidia shida yangu ya kukupa zawadishida yangu zawadi au kutongozwa?
wenzako wamekuponza ss
una ndg wangapi?Mimi nitakusaidia shida yako ya kutongozwa na wewe utanisaidia shida yangu ya kukupa zawadi
pm ndio hii bst. Tongoza nakusikilizaNikaribishe pm basi na mimi nianze kujifunza kutumia
Wengi.. Wote ni matajiri kuliko mimiuna ndg wangapi?
huko ni kero nitajibu wangapi?, waje hapaSasa kama unapenda kutongozwa na washkaji wamekufuata pm wanataka mamboz, kwanini usienjoy kutongozwa hukohuko?
Jibu swali . Kutongozana mambo ya kizamani .kutongozwa siku hizi ni biashara?
as uBITCH IS DYING FOR FAME
By Diamond Platinumz