pichaunitumie nini?
kwani mimi masikini?Wengi.. Wote ni matajiri kuliko mimi
pole bstπhamna kitu hapa
Kizuri kinajiuza kibaya kina jitembeza.Naona mnalia lia sana pm. Nasikitik kwamba pm huwa sijibu sms au kuendeleza majadiliano huko
Uzi wenu ni huu unaweza kujaribu bahati yako
Karibuni hapa mnitongoze jamani, napenda kutongozwa mieπ
pm ndio hii bst. Tongoza nakusikiliza
Wewe sijui kuhusu wewekwani mimi masikini?
weka hapapicha
sawa sawa bstWewe sijui kuhusu wewe
misemo ya kizamani bstπ€£Kizuri kinajiuza kibaya kina jitembeza.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Mi simtaki huyo mkuu siyo type yangu ukiona bi dada anataka mtongozo ujue hana makinikiadada katoto kadhuri habari yako unajua tangu nimekuona hapa jukwaanai nimetokea kukupenda kwa dhati siyo kama mo11 huyo atakuwa anakudanganya na kuna mtu anaitwa zero iq usimkubalie ni mhuni sana halafu hana hela anauza kiepe mimi kidogo mambo safi naomba niwe mpenzi wako wa kweli jamani nawasilisha
hilo bao lako la ushindi lihalalishe hapa hapaTatizo nini mamaa linalo fanya una kataa? Me sito ishia tu kukutongoza ila ikifaa nataka nikufanye uwe bao langu la ushindi
pm ni hii hii. hujasoma mada?
πππππ[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Mi simtaki huyo mkuu siyo type yangu ukiona bi dada anataka mtongozo ujue hana makinikia
Kwani hapa utajibu wangapi?huko ni kero nitajibu wangapi?, waje hapa
ipo bstChura lipo?
hilo bao lako la ushindi lihalalishe hapa hapa
wote nawajibu, atakae ibuka mshindi ndo huyoπKwani hapa utajibu wangapi?