Kwa wale mabingwa wa kutongoza, huu ndio uzi wenu nitongozeni

Kwa wale mabingwa wa kutongoza, huu ndio uzi wenu nitongozeni

Naona mnalia lia sana pm. Nasikitik kwamba pm huwa sijibu sms au kuendeleza majadiliano huko
Uzi wenu ni huu unaweza kujaribu bahati yako
Karibuni hapa mnitongoze jamani, napenda kutongozwa mie[emoji12]
Wewe utongozwe unatoa ndogo?
 
Na yule aliekupiga kile cha alfajiri nae akutongoze upya au yeye aendelee kuchokonoa meno?
 
Back
Top Bottom