Rashford Lingard
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 938
- 1,150
Barcelona ilianza kua mbovu wakati Messi yupo, usikimbilie hakuna timu isiyofungwa.Hakuna timu isiyofungwa duniani
Mishawahi tolewa kwenye makundi UEFA? Toka wewe uanze kufuatilia mpira?Barcelona ilianza kua mbovu wakati Messi yupo, usikimbilie hakuna timu isiyofungwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaje wa 8 sasa..!!Hapo hakuna Kama no 8
Siwezi kumpa heshima mchezaji ambaye msimu wite ana kagoli kamoja tuKuna watu huku mlikua mnasema Messi hana kitu ni kwamba yupo tu kwenye timu Bora na anazungukwa na wachezaji wazuri mmeona sasa kuondoka kwake kumeifanya Barca kupoteana hadi kushiriki michuano ya Europa?
Haya Sasa mmeona umuhimu wake?
Hivi ni kweli mlikua hamuuoni mchango wa Messi Barcelona?
Hamkuona kwamba akiwa Barca yeye ndo alikua anaongoza kwa kila kitu msimu ukiisha? Sio magoli,sio assist,sio nafasi za kutengeneza.
Huyu Messi mpeni heshima yake jamaniView attachment 2039146
Non sense, Messi kaondoka barca, ikiwa tayari inapitia kipindi kigumu, mbona alishindwa kuinusuru na kipigo cha goli 7 nje ndani dhidi ya bayern?Kuna watu huku mlikua mnasema Messi hana kitu ni kwamba yupo tu kwenye timu Bora na anazungukwa na wachezaji wazuri mmeona sasa kuondoka kwake kumeifanya Barca kupoteana hadi kushiriki michuano ya Europa?
Haya Sasa mmeona umuhimu wake?
Hivi ni kweli mlikua hamuuoni mchango wa Messi Barcelona?
Hamkuona kwamba akiwa Barca yeye ndo alikua anaongoza kwa kila kitu msimu ukiisha? Sio magoli,sio assist,sio nafasi za kutengeneza.
Huyu Messi mpeni heshima yake jamaniView attachment 2039146
Kwahiyo hayo ya kufungwa 7 na 8 dhidi ya hao Bayern ndo kunamfanya awe hakuwa na msaada alipokua Bayern??Non sense, Messi kaondoka barca, ikiwa tayari inapitia kipindi kigumu, mbona alishindwa kuinusuru na kipigo cha goli 7 nje ndani dhidi ya bayern?
saivi wapo mtaa wa 7 na wasipokaza hata top4 hawataiona hivo wanaweza kosa michuano ya ulaya msimu kesho.Kwahiyo hayo ya kufungwa 7 na 8 dhidi ya hao Bayern ndo kunamfanya awe hakuwa na msaada alipokua Bayern??
Hivi unafuatilia mpira wewe??
Unataka kusema kipindi yupo Barca na Sasa hivi akiwa hayupo ni sawa??
Toka awepo barca,Barca haijawahi kucheza Europa wewe huoni alikua na impct kubwa Sana alipokua Barca??
Sawa Ila time will tell
Umesahau akiwa BARCA alivyokuwa akiwageuza kama chapati team pendwa za huko unapotetea England?Andunje anacheza ligi ya wakulima timu nyingi kwenye ligi ni mbovu anawageuza geuza kama chapati.
Wasingetolewa kwa sababu mwisho wa siku Messi alikua anaibeba Barca mgongoni mwakekikubwa ulichosahau ni kuwa msimu uliopita Barca iliaga round of 16 na messi akiwa ndani, Kwa maana msimu huu hata angelikuwemo basi uwezekano wakutoka group stage pia ungelikuwepo. Barca ilishapoteza ubora wake toka Xavi na Iniesta walipokwisha kwnye ubora wao
Huko alipoenda kunahusu nini ??Sasa huko alikoenda amefanya nini?
Naona Messi na Barcelona wote walikuwa wanategemeana usiiseme Barcelona peke yake
Kutengana kwao kutadhihirisha udhaifu wa kila mmoja udhaifu wa Messi tutauona ba wa Barcelona pia tutauona it's matter of time tu
Wasingetolewa kwa sababu mwisho wa siku Messi alikua anaibeba Barca mgongoni mwake
Hatua gani?siku walizokula goli 8 alikuepo wapi kuibeba?
Mm siangalii matokeo ya mechi mojasiku walizokula goli 8 alikuepo wapi kuibeba?
Hatua gani?