- Thread starter
- #41
Mechi mbili zipi?ishu sio hatua gani ishu ni kuwa unacheza nani, Messi angeweza kubadilisha nini mechi mbili walizokula vipigo vya paka mwizi za buyern?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi mbili zipi?ishu sio hatua gani ishu ni kuwa unacheza nani, Messi angeweza kubadilisha nini mechi mbili walizokula vipigo vya paka mwizi za buyern?
Mechi mbili zipi?
Messi alikuwepo? Na je kwenye kundi alikuwa Bayern pekeyake ??inaonekana umesahau kidogo, kama mechi iliyowatoa Barca kwenye mashindani ni kipigo cha 4-0 walichokula kutoka kwa Buyern Majuzi tu
Messi alikuwepo? Na je kwenye kundi alikuwa Bayern pekeyake ??
Si hata benfica walishindwa kumfunga?