Kwa wale mnaolalamika kudhalilishwa na kampuni za mikopo mtandaoni, fanya hivi kuwazuia kuona taarifa kwenye simu yako

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Moja kwa moja kwenye mada....
Fanya hivi nenda setting>Privacy>permission manager>apps that can control your data....ukifungua huku utazikuta apps zote ulizo allow ku access simu yako then gusa kila kipengele kimoja kimoja kuanzia kwenye sms,camera,files,contacts utakuta hizo apps ulizoruhusu. Ukifungua utakutana na sehem ya Allow na dont allow,ziondoe kwa kubofya "don't allow"

Kumbuka hata kama umefuta app zao, kama hujafanya setting kwenye simu yako bado wataendelea kuona kila kitu chako....
sitawafundisha tena mbinu za kivita.
 
Mie mkuu nihoji na nimewahoji leo kwamba wanachokifanya ni sahihi namna kajibu namtathmin... all in all... je policies zao ndivo zinawaambia wafanye?
 
Moja kwa moja kwenye mada....
Fanya hivi nenda setting>Privacy>permission manager>apps that can control your data....ukifungua huku utazikuta apps zote ulizo allow ku access simu yako then gusa kila kipengele kimoja kimoja kuanzia kwenye sms,camera,files,contacts utakuta hizo apps ulizoruhusu. Ukifungua utakutana na sehem ya Allow na dont allow,ziondoe kwa kubofya "don't allow"

Kumbuka hata kama umefuta app zao, kama hujafanya setting kwenye simu yako bado wataendelea kuona kila kitu chako....
sitawafundisha tena mbinu za kivita.
Tatizo hizi apps ukirestrict access hawakupi mkopo, mi nadhani njia nzuri ni simu mpya nakutengeneza account mpya unaweka majina kadhaa ya kanyaboya halafu unavuta ela.
 
Hii ni kwa wale ambao walishakopa wakashindwa kulipa.
 
Dawa ya deni kulipa. Hamna short cut nyingine zaidi ya kuwa mwizi
Yaah ni kwel dawa ya deni ni kulipa lakin hawa wanakiuka namna ya kufai ndg, unakuta hata siku ya kulipa haijafika washatuma msg kwenye namba unazowasiliana nazo wewe na hiyo ndio inafanya watu kutokulipa deni lao. Kwa mfano mimi washanizalilisha kwa watu kuna haja ya kulipa?
 
unakopa afuarobaini unahangaika na setting kweli umaskini upo kwa kiwango kikubwa na watu wengi hawana vyanzo vya vipato hii ni hatari sana kwa nchi ogopa sana mtu anakopa hela ndogo na hawezi rudisha, jambo la hovyo kweli
Ukiwà na app 10 ukakopa 40 kila app,unakua na laki 4,unachukua laki unaweka odd 4,unapiga lak karibia laki 5,jioni unakaa zako Kitambaa cheupe unakula coktail mdogo mdogo huku unaperuzi swaafi kabisa,maisha yanataka fomula ndogo sana ili utoboe
 
4mla yako utakuja kuliwa kunako majaaliwa maana huwezi beti hela ya mkopo alafu mpka ujisajili kwenye app 10 huna kazi ya kufanya... kwahyo akatokea njemba akakupa 400k ukanywe kitambaa cheupe basi unaona ushatoboa au sio
 
Back
Top Bottom