Kwa Wale Mnaomfahamu:Kapotelea Wapi Huyu?

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,265
Alikuwa muigizaji mzuri sana. Kaishiaga wapi simsikii tena?
 
Wakishawekwa ndani na mume mwenye wivu ndio basi tena, kipaji kimepotelea baharini. Ukimkuta ananukanuka manyonyo tu!!
 
Wakishawekwa ndani na mume mwenye wivu ndio basi tena, kipaji kimepotelea baharini. Ukimkuta ananukanuka manyonyo tu!!
Ya mume mwenye wivu ni kweli ila hiyo ya kunuka manyonyo sidhani. Huyu dada anaonekana mtanashati mno distazo!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
We umepata wapi picha yake? Au ndo km sms hii " Tafadhali nibip siioni simu yangu"
 
We umepata wapi picha yake? Au ndo km sms hii " Tafadhali nibip siioni simu yangu"
kivyako, huyu mtoto nilikuwa namfuatiliaga sana mpaka akanitumia picha yake. Kisha akapotea ghafla, mawasiliano yote
akakata. Kumbe alikuwa na misheni zake! Sasa washikaji hapa wamenifungua macho na inabidi nifyate mkia.
 
Last edited by a moderator:
kivyako, huyu mtoto nilikuwa namfuatiliaga sana mpaka akanitumia picha yake. Kisha akapotea ghafla, mawasiliano yote
akakata. Kumbe alikuwa na misheni zake! Sasa washikaji hapa wamenifungua macho na inabidi nifyate mkia.
Mkuu HYGEIA pole sana, ndo hivyo siku nyingine unawahi kabla ya wengine, lkn afadhali alikuachia picha utakuwa unavutia hisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…