Kwa wale mnaopenda 'Mambo ya Mombasa', tahadhari sana!

dah mkuu....ulivyosema mambo ya Mombasa nilivyokuja mbio kidogo nitenguke......kumbe mambo ya Mombasa yapo mengi.....

Hahah, naona ulivyokuja unahema juu juu !
 
Ndugu zetu wanyaru land, hii wu! wu! wu! [HASHTAG]#mbwa[/HASHTAG] kwao ni barbeque moja maridadi-matata sana!
 
hiki kichwa cha habari kimewakamata wengiπŸ˜€πŸ˜€
 
Ndugu zetu wanyaru land, hii wu! wu! wu! [HASHTAG]#mbwa[/HASHTAG] kwao ni barbeque moja maridadi-matata sana!
Mbona wengi mnakula sana mishkaki ya hii kitu, hasahasa Dar kwa chipsi na mishkaki ya barabarani kwenye stand za daladala.
Na mnaisifia sana kwa jinsi ilivyo mitamu na laini![emoji4] [emoji4]
Mambo ya wahehe hayo
 
dah mkuu....ulivyosema mambo ya Mombasa nilivyokuja mbio kidogo nitenguke......kumbe mambo ya Mombasa yapo mengi.....
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…