Kwa wale mnaopenda 'Mambo ya Mombasa', tahadhari sana!

Kwa wale mnaopenda 'Mambo ya Mombasa', tahadhari sana!

Tunaomba kujua migahawa au bar ndio Kuna haya mambo??Ama Ni Ile ya barabarani??
 
Biashara ya mishkaki mitaa ya Mama Ngina Drive, Likoni Ferry, nasikia mateja washafanya mbwa kua dili
afu wanawauzia watu eti ni mishkaki. Kudadeki!

Msiseme sikuwahabarisha.

8032221238_ddda6d5ed5_b.jpg

Na supu yake balaa.
 
Preta kama uko hai basi tusalimie dear, muda umepita looh
Nipo salama kabisa……..nilifariki kidogo lakini nashukuru nimefufuka tena ……🤣🤣
Heri ya Mwaka Mpya 2023……..
 
Nipo salama kabisa……..nilifariki kidogo lakini nashukuru nimefufuka tena ……🤣🤣
Heri ya Mwaka Mpya 2023……..
Mungu mwema, maana nyie ndo tuliwakuta jf miaka hiyo ya kale kabisa. Mshukuru Mungu ungali unadunda. Mie nipo nashukuru, maadamu naweza lipia pango la nyumba, mengine urembo.
 
Nyama ni nyama tu as long as haita mdhuru mtu afya... Kuleni nyama zote mbwa nyinyi... K zinazo vuja damu kila mwezi mnazinyosha tena zikiwa mbichi ila nyama za mbwa na ngurue vibudu mnapiga makelele... Wasengerema nini
 
Biashara ya mishkaki mitaa ya Mama Ngina Drive, Likoni Ferry, nasikia mateja washafanya mbwa kua dili
afu wanawauzia watu eti ni mishkaki. Kudadeki!

Msiseme sikuwahabarisha.

8032221238_ddda6d5ed5_b.jpg

sasa shida nn kwan ni sumu hii??
chakula ni utamaduni zaidi wala hamna ubaya hapa!

Asia yote wanakula mbwa na paka!!
 
Back
Top Bottom