BwanaSamaki012
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 212
- 250
Kama unataka kuwekeza kwenye ufugaji samaki basi anza kufikiria kwenye uuzaji wa Vifaa vinavyotumika kwenye ufugaji samaki (fish farming facilities) au uzalishaji wa mbegu bora ya samaki (sato na kambale), huku ndipo kuna maslahi zaidi kuliko kufuga samaki na baadae kuuza samaki kama kitoweo.
Iko hivi, Sekta ya ufugaji wa samaki nchini Tanzania inakua kwa kasi sana hii ni kutokana na upungufu wa samaki kwenye vyazo vya asili vya maji wakaiti huo huo mahitaji ya samaki yakizidi kuongezeka.
Hali hii inapelekea ufugaji samaki kuwa fursa na njia sahihi ya kukidhi mahitaji ya wapenzi wa samaki na pia inapunguza fishing pressure kwenye mito, maziwa na bahari.
Pamoja na ukuaji wa tasnia ya ufugaji samaki bado kuna changamoto kubwa kwenye upatikanaji wa mbegu bora za samaki, vifaa muhimu vya ufugaji samaki (fish farming facilities) na maarifa sahihi ya jinsi ya kufanyaufugaji wa samaki wenye tija.
Hizi changamoto ni fursa kwa wajasiliamali na wawekezaji, ukifanya maamuzi ya kuwasogezea watu huduma karibu kwa kuimport vifaa toka nje na kuviuza kwa wadau wa ufugaji wa samaki na uhakika utapata faida nzuri.
Mimi nipo kwenye hii industry kwa muda mrefu tumekuwa tukistruggle sana jinsi ya kupata baadhi ya facilities kwa sababu facilities nyingi kama vile vifaa kuongeza hewa kwenye maji (aerators), vifaa vya kupima ubora wa maji (Water quality kit), nyenzo za kufunika mabwawa (pond liners) na vingine vingi vimekuwa vikitoka nje ya nchi.
Mfano kwenye uzalishaji wa kambale na sato uwa inanilazimu kuagiza hormone (MT & Overtide) kutoka Kenya. Hali inayopelekea usumbufu na wakati mwingine kuchelewesha kazi
Kwa upate wa uzalishaji wa vifaranga, wazalishaji wengi nchini sio wa kuaminika kwa sababu wanazalisha local na vituo vyao havitambuliki na mamlaka (wizara ya mifigo na uvuvi) waliowengi awazalishi kilichobora
Hivyo ukianzisha kituo cha kuzalisha begu/vifaranga ukasajili kituo chako kikatambulia na ukazalisha vifaranga bora unakuwa kwenye mazingira nzuri ya kupata faida nzuri na biashara yako ikawa endelevu.
Kwa maelezo zaidi unaweza nicheck directly nikakupa ABC ya jinsi unavyoweza kuifanya hii biashara.
Call/WhatApp: 0758779170.