KISHINDO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 2,165
- 1,906
Thanks sana mkuu.Pole sana,
Ila nikukumbushe na kukusisitiza.
" Samehe, ili uishi salama zaidi "
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks sana mkuu.Pole sana,
Ila nikukumbushe na kukusisitiza.
" Samehe, ili uishi salama zaidi "
Ahsante sana mkuu.Doh pole sana mkuu,bt ndio maisha
Yaani kweli tupu nimeya shuhudia kwenye familia yangu yani mtu anafanya ujinga hataki kuambiwa kisa baba/mama sio wake.Nilianza kulelewa na ndugu wa upande wa baba angu, Nimemjua mama angu baada ya kupata akili zangu, nikagundua kinachosumbua watoto wanaolelewa na ndugu/mtu baki ni inferior complexity (psychological problems)ile hali ya kuhisi kuonewa onewa tu kwa kila jambo lakini ,(though wapo walezi wenye kuonea watoto wasio wao) ila mara nyingi mtoto asiye wako akili yake mda wote inawaza kuonewa onewa tu, ukimtuma kazi ataona kama umemuonea, akikosea ukamsema atafeel the same way, etc
Swali , Je hakuna wazazi wanaowapiga au kuwapa adhabu watoto zao??
[emoji1426][emoji1426]Hii akifanya mtu ambae sio mzazi wako utahisi 100% umeonewa na utalia sana tofauti na akikuadhibu mzazi wako baada ya muda utasahau.
Point kabisa, na hii ndio kauli mbiu yangu mimi kama sio baba yako pita wiki mbili urudi kwenu kwangu nakaa na watoto wangu tu.pamoja na hayo yote ila kuna mema pia tunapata. Kama kupewa hifadhi na sehemu ya kuishi, kupelekwa shuleni na kupata elimu, pia zipo faida nyingi siwezi kuziandika zote. Cha muhimu tusipende kuangalia upande mmoja wa kero na tukasahau kuwa bila hao ndugu labda tusinge fika hapa. kuna wengine tulikuwa na wazazi ila tulilelewa na ndugu, je huoni kama hapo walitutakia mema?. So usipende kulalamika sana maana jukumu la kukuandalia maisha ni la baba yako na mama yako, kwa kuwa ndugu nao wana watoto wao ambao inabidi wapate maisha mazuri.
Yaani kweli tupu nimeya shuhudia kwenye familia yangu yani mtu anafanya ujinga hataki kuambiwa kisa baba/mama sio wake.
MlambeKipindi hicho,naishi kwa bro,shemeji yangu,kila wimbo wa twangapepeta uliokuwa na maneno,"chande kula na kulala kwa kaka,"ulipokuwa ukipigwa,lazima aniite nije nisikilize,ilikuwa inaniuma sana,lakini mtoto wa kiume utafanyaje?unaishia kusikiliza,unajichekesha,kama utani vile,kumbe moyo unauma,
Mchana msosi hakuna,ni kawa nashinda kijiweni tu,mpaka jioni,huyo shemeji,alikuwa ni mrembo balaa,mpaka nikawa nashangaa,inawezekana vipi,MTU mrembo namna hii,anaweza kuwa na roho mbaya kiasi kile,nikaapa kwamba IPO Siku nitapita nae,
Miaka mingi imepita,nimeishasahau maumivu,Shem wangu ni best yangu sana sasa HV.
Da tumetoka mbali.
Ningekua na mamlaka nchi hii ningekupa uwaziri maana umeongea point tupu.pamoja na hayo yote ila kuna mema pia tunapata. Kama kupewa hifadhi na sehemu ya kuishi, kupelekwa shuleni na kupata elimu, pia zipo faida nyingi siwezi kuziandika zote. Cha muhimu tusipende kuangalia upande mmoja wa kero na tukasahau kuwa bila hao ndugu labda tusinge fika hapa. kuna wengine tulikuwa na wazazi ila tulilelewa na ndugu, je huoni kama hapo walitutakia mema?. So usipende kulalamika sana maana jukumu la kukuandalia maisha ni la baba yako na mama yako, kwa kuwa ndugu nao wana watoto wao ambao inabidi wapate maisha mazuri.
Umeongea neno mkuu, mimi ni moja ya walio lelewa na ndugu nilikuaga na mawazo hayo lkn mwisho wa siku nimekuja kugundua pengine ulikua utoto tu . Kuna mazuri mengi wanatufanyia hawa ndg zetu we can remember that also.Nilianza kulelewa na ndugu wa upande wa baba angu, Nimemjua mama angu baada ya kupata akili zangu, nikagundua kinachosumbua watoto wanaolelewa na ndugu/mtu baki ni inferior complexity (psychological problems)ile hali ya kuhisi kuonewa onewa tu kwa kila jambo lakini ,(though wapo walezi wenye kuonea watoto wasio wao) ila mara nyingi mtoto asiye wako akili yake mda wote inawaza kuonewa onewa tu, ukimtuma kazi ataona kama umemuonea, akikosea ukamsema atafeel the same way, etc
Swali , Je hakuna wazazi wanaowapiga au kuwapa adhabu watoto zao??
[emoji1426][emoji1426]Hii akifanya mtu ambae sio mzazi wako utahisi 100% umeonewa na utalia sana tofauti na akikuadhibu mzazi wako baada ya muda utasahau.
Mungu awajalie maisha marefu hao walezi wako[emoji120] [emoji120]Poleni sana mliopitia hayo. Mimi niliishi kwa miaka miwili na watu wasio ndugu zangu na wala hawakuwa na ukaribu ana uhusiano na familia yangu na mimi ni mkristo na wao ni waislam lakini nakiri kuwa mimi ndiye nilikuwa napendwa kuliko watoto wengine. Tulizoeana sana kiasi ilikuwa ngumu wao kuniruhusu niondoke nilipohitaji kufanya hivyo.
Watu wenye roho nzuri bado wapo
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Aisee unanikumbusha mbali sana ndugu. Huwa sitaki nikumbuke kwa sababu hata sasa ninaandika, machozi yananilenga lenga nikiwa kijana wa kiume.
Nimelelewa na ndugu tofauti tofauti tangu nikiwa mdogo sana baada ya baba kufariki.
Mama hakuwa na upendo sana na watoto wake hivyo alitugawa kwa ndugu ila mimi ndo nililelewa na ndugu wengi.
Treatment niliyoipata, anajua Mungu tu.
Inafikia wakati unaambiwa unakula kama mchwa.
Leo hao waliokuwa wakinitreat hivyo ndo wanataka niwape hela.
Inauma sana.
Nimejifunza, sitaruhusu mke wangu anyanyase mtu yeyote.
Machungu yake ni mabaya sana na upendo hupotea
Amina, mkuu.Mungu awajalie maisha marefu hao walezi wako[emoji120] [emoji120]
Umeongea neno mkuu, mimi ni moja ya walio lelewa na ndugu nilikuaga na mawazo hayo lkn mwisho wa siku nimekuja kugundua pengine ulikua utoto tu . Kuna mazuri mengi wanatufanyia hawa ndg zetu we can remember that also.