Kwa wale tuliowahi kupika tukapika maboko.

Laiguanan

Senior Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
115
Reaction score
184
Bwana kupika ni kipaji hasa sie wanaume. Nakumbuka mara yangu ya kwanza kupika chipsi nilizitoa kama zile za @figganiga. miugali miugali.

sasa ya leo kali nilinunua pop corn..nikawa nazitafutia siku maana nina hamu nazo. sasa kale kamfuko ka kg1 mie nikawa nakaona kadogo... nikakamimina kwenye kasufuria ka wastani.

Eee bwana ee kumbe hivi vitu vinaongezeka bhana... kuja kustuka baada ya kupasuka pasuka zimejaa kasufuria hadi nimejiuliza hii ni mikate ya Yesu ama. Kutokujua kubaya saana. hapa nawaza nizipeleke wapi maana zimejaa tu.

najua wanaume huwa tunatoa maboko kwenye mapishi tupeane yaliyotokea.
 
Me bhna nilibaki mwenyewe home nkapika ugali wengine walienda church daahhh majang ugal ukazimia nkaenda kuuzika nkaanza upyaaaaaaaaa
 
Me bhna nilibaki mwenyewe home nkapika ugali wengine walienda church daahhh majang ugal ukazimia nkaenda kuuzika nkaanza upyaaaaaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uliuwahi kabla ya maji au ilikuwaje?
 
Hiyo inaitwa ajali kazini.... Ukichemsha mapishi unakula hivyo hivyo au unamwaga maisha yanaendelea
vingine haviliki... kama hizo chipsi nilizowahi kukaanga...

zikatoka kama miugali...kuuliza nikaambiwa mafuta hayakuwa ya moto na nilikuwa nazigeuza geuza.
 
vingine haviliki... kama hizo chipsi nilizowahi kukaanga...

zikatoka kama miugali...kuuliza nikaambiwa mafuta hayakuwa ya moto na nilikuwa nazigeuza geuza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hizo kweli ulichemka vibaya
 
Sikushangai sana maana tangu lini mmasai mwanaune akapika..(laiguanan)
Alafu sio laiguanan
Ni laigwenang"
 
Sikushangai sana maana tangu lini mmasai mwanaune akapika..(laiguanan)
Alafu sio laiguanan
Ni laigwenang"
mimi sio mmasai mzee... jina langu laiguanan na sio laigwenang.
 
Ha haa haaaa. Nikajipikilisha wali siku moja. Loh! Nimekoma. Ule hata sijui nini. Maana haukua uji, haukua Ugali, yaani hovyo hovyo!
 
Ha haa haaaa. Nikajipikilisha wali siku moja. Loh! Nimekoma. Ule hata sijui nini. Maana haukua uji, haukua Ugali, yaani hovyo hovyo!
hahaha.. wali bhana sikuhizi naukangaa kwanza ukianza kutia maji umeharibu maana naweza kuzidisha maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…