Kwa wale tuliowahi kupika tukapika maboko.

Siku ya kwanza kupika sambusa niliandaa manda ya kukanda nikatengeneza chapati..nikasahau kwamba ile chapati inabidi ibabuliwe kwanza kabla ya kujaza nyama.Basi nimeisukuma nikaikata na kujaza nyama ile kutumbukiza kwenye mafuta sambusa zikavimba na kuumuka kama maandazi[emoji23][emoji23][emoji23]. Nashukuru niliyekuwa nampikia hakujua ilikuwa sapraizi basi nikazificha nikawa nakula mdogo mdogo.
 
haufai wewe! itabidi nikutafute unifundishe.
 
Wknd moja nilijitoa kimasomaso nikataka kupika makande kweny gas,wazee!! gas ilikata na kilichotokea sijui ni supu ile sijui ni nini[emoji23][emoji23] yaani aibu tupu,nilienda kula mgahawani tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mikate ya Yesu mkuu kama nyingi naomba na mm

Natamani kuona chips za @figganiga [emoji23][emoji23] zilikuwaje
 
Inshu chapati duara si duara pembe tatu si pembe tatu haieleweki ni umbo gani kabsaaaa.
 
Me bhna nilibaki mwenyewe home nkapika ugali wengine walienda church daahhh majang ugal ukazimia nkaenda kuuzika nkaanza upyaaaaaaaaa
Mim tena nilipikaugali wa muhogo nikiwa field ila kizuri nilikuwa kwa dada siku hiyo nilikuwa pekee yangu sasa skujua huo ugali unaivaje nikajikuta tu napka mbichi aise nikaenda kuuzika .pia kunasku nilipika wali ni kama kilo 2 na nusu hivi halafu kasefulia kadogo wqcha weee nikapika mbichi niliumia sana
 
Siku ya kwanza kupika sambusa niliandaa manda ya kukanda nikatengeneza chapati..nikasahau kwamba ile chapati inabidi ibabuliwe kwanza kabla ya kujaza nyama.Basi nimeisukuma nikaikata na kujaza nyama ile kutumbukiza kwenye mafuta sambusa zikavimba na kuumuka kama maandazi[emoji23][emoji23][emoji23]. Nashukuru niliyekuwa nampikia hakujua ilikuwa sapraizi basi nikazificha nikawa nakula mdogo mdogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wknd moja nilijitoa kimasomaso nikataka kupika makande kweny gas,wazee!! gas ilikata na kilichotokea sijui ni supu ile sijui ni nini[emoji23][emoji23] yaani aibu tupu,nilienda kula mgahawani tu.
Unpikia makande kwenye gas cooker duuuuh umetisha sana
 
Back
Top Bottom