D
Deleted member 485868
Guest
Haha..boko linaboa lakini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha kuna vitu vinachekesha wallahvingine haviliki... kama hizo chipsi nilizowahi kukaanga...
zikatoka kama miugali...kuuliza nikaambiwa mafuta hayakuwa ya moto na nilikuwa nazigeuza geuza.
Hahaha yani kwe wali wanaume wengi ni majanga sasa usiombe huo wali upikwe kwe gas cookerHa haa haaaa. Nikajipikilisha wali siku moja. Loh! Nimekoma. Ule hata sijui nini. Maana haukua uji, haukua Ugali, yaani hovyo hovyo!
haufai wewe! itabidi nikutafute unifundishe.Siku ya kwanza kupika sambusa niliandaa manda ya kukanda nikatengeneza chapati..nikasahau kwamba ile chapati inabidi ibabuliwe kwanza kabla ya kujaza nyama.Basi nimeisukuma nikaikata na kujaza nyama ile kutumbukiza kwenye mafuta sambusa zikavimba na kuumuka kama maandazi[emoji23][emoji23][emoji23]. Nashukuru niliyekuwa nampikia hakujua ilikuwa sapraizi basi nikazificha nikawa nakula mdogo mdogo.
Mama clarenani huyo ama clara?
Mim tena nilipikaugali wa muhogo nikiwa field ila kizuri nilikuwa kwa dada siku hiyo nilikuwa pekee yangu sasa skujua huo ugali unaivaje nikajikuta tu napka mbichi aise nikaenda kuuzika .pia kunasku nilipika wali ni kama kilo 2 na nusu hivi halafu kasefulia kadogo wqcha weee nikapika mbichi niliumia sanaMe bhna nilibaki mwenyewe home nkapika ugali wengine walienda church daahhh majang ugal ukazimia nkaenda kuuzika nkaanza upyaaaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku ya kwanza kupika sambusa niliandaa manda ya kukanda nikatengeneza chapati..nikasahau kwamba ile chapati inabidi ibabuliwe kwanza kabla ya kujaza nyama.Basi nimeisukuma nikaikata na kujaza nyama ile kutumbukiza kwenye mafuta sambusa zikavimba na kuumuka kama maandazi[emoji23][emoji23][emoji23]. Nashukuru niliyekuwa nampikia hakujua ilikuwa sapraizi basi nikazificha nikawa nakula mdogo mdogo.
Unpikia makande kwenye gas cooker duuuuh umetisha sanaWknd moja nilijitoa kimasomaso nikataka kupika makande kweny gas,wazee!! gas ilikata na kilichotokea sijui ni supu ile sijui ni nini[emoji23][emoji23] yaani aibu tupu,nilienda kula mgahawani tu.