Laiguanan
Senior Member
- Jul 31, 2018
- 115
- 184
Bwana kupika ni kipaji hasa sie wanaume. Nakumbuka mara yangu ya kwanza kupika chipsi nilizitoa kama zile za @figganiga. miugali miugali.
sasa ya leo kali nilinunua pop corn..nikawa nazitafutia siku maana nina hamu nazo. sasa kale kamfuko ka kg1 mie nikawa nakaona kadogo... nikakamimina kwenye kasufuria ka wastani.
Eee bwana ee kumbe hivi vitu vinaongezeka bhana... kuja kustuka baada ya kupasuka pasuka zimejaa kasufuria hadi nimejiuliza hii ni mikate ya Yesu ama. Kutokujua kubaya saana. hapa nawaza nizipeleke wapi maana zimejaa tu.
najua wanaume huwa tunatoa maboko kwenye mapishi tupeane yaliyotokea.