Kwa wale tuliowahi kwenda kwa waganga wa kienyeji, tukutane hapa

Hirnet , hao waganga wanaodai pesa kidogo ni wa kweli na wamepewa ruhusa na Mungu ili watuokoe kwani ulimwengu umeisha . Hakika uchawi upo na waganga wapo ila omba upate wa kweli .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar es salaam na Arusha jiji hakunaga waganga...mganga anakaa sinza au kama huyo ngarenaro.. huyo mjanja mjanja tu wa town.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Booster iliisha power
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hirnet , hao waganga wanaodai pesa kidogo ni wa kweli na wamepewa ruhusa na Mungu ili watuokoe kwani ulimwengu umeisha . Hakika uchawi upo na waganga wapo ila omba upate wa kweli .

Sent using Jamii Forums mobile app

Inawezekana
Aliniambia issue moja ambayo sijawahi kumsimulia mtu

Nikaona ni hatari nikampotezea yule best yangu maanake yeye ndo alikua anakutana nae kila kukicha
 
Hivi na kina ronaldo nao wanachanjia? Mbona hatuwafungagi? Siulizi kwa kejeli maana mi najua kabisa uchawi upo wala sina doubt...nachotaka kujua kwenye mpira na wenzetu ulaya waga wanapuliza?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati huo ushavurugwa bro.unataka kurudisha penzi.ukiangalia demu ameanza kutoka na jamaa mwenye hela.wewe kakumwaga.inauma sanaaa.
Hahaa .. kupoteza muda wako kwa kupambana na kitu/jambo ambalo hauwezi kulishinda. Ni matumizi mabaya ya rasilimali Akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa " aahh haa haa hii Kali ..hahaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuhh " hahaha hii Kali .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nahisi kwa kuwa wenzetu kwenye historia yao (ulaya) kuna kipindi walichomaga uchawi wote (crusades) na wahisiwa uchawi walichomwa moto karibia wote...kwahiyo booster kule hazina power kivile

Sent using Jamii Forums mobile app
ukweli ni kwamba licha ya vipaji walivyonavyo vya kucheza mpira lakini ushirikina unatumika kupata mafanikio zaidi kwenye soka.
 
Dooh nimegundua waenda kwa waganga wengi kumbe ni wanaume,kumbe nanyi mmo lkn hamvumi ,Mungu tuepushe na wanaume wa namna hii lol[emoji23][emoji2]
Kuna WASHIRIKINA(wanaume ni wengi) na WACHAWI (wanawake ni wengi na ndo wanaoongoza)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…