Nawaona tu mnavyodanganya, wengi humu wamezindika nyumba zao ila hawasemi, wapo waliozindika biashara au dawa za kuvuta wateja, hawasemi. Wengine wamepewa dawa za kutuliza wake zao ila wanazuga, hata huko kwenye mpira watu wanaroga mno, ila hawasemi humu. Yapo mengi sana, watu wanahudhuria sana kwa waganga, hasa kipindi hiki cha maisha mminyo. Hebu tufunguke na tuwe wakweli, na si kutudanganya humu wakati wengi wetu ni wahudhuriaji wazuri wa waganga na pia wapo wengi waliofanikiwa hata kwa kuwatoa kafara ndugu na wazazi wao. Wamo humu. Ila wanazuga tuu. Pweza kabisa.
Mimi nshachanjwa sana kipindi nacheza soka, bila hivyo unakuta unacheza mpira kama umebeba gunia la kilo 100.
Haya fungukeni
Sent using
Jamii Forums mobile app