Kwa wale tuliowahi kwenda kwa waganga wa kienyeji, tukutane hapa

Nimefanya kautafuti kadogo maofisini watu wenye asili ya pwani kuna madude fulani ya kishirikina huwa wanajipaka kama mafuta eti nyota yake ingare mbele ya bosi na wala asikoromewe,, madude hayo harufu yake inakere kweli kweli
 
Hem jaribu uone, kwanza ujuwe namba italeta mwanzo mzuri, sisi hatuangalii pesa, mwanzo mzuri ndio kila kitu.[emoji23][emoji23]


🤣🤣! Hebu tuwe tuna kauratibu kakupeana hela ndogo ndogo basi jamani kudumisha injili😎😎!...kwani laki nini bwana? Ni ndgoo kama Rona😅
 
Mimi nakumbuka ilikuwa mwaka 1999, tulikuwa na ligi, sasa tukafika fainali kwa bahati sana na timu tuliyoingia nayo ilikuwa kiboko. Ikabidi tupate namna ya kutafuta mtaalam, nikachaguliwa kuongoza wapiga ramli, tulienda usiku manyanga yakapigwa, jini akaja akaanza kutupa sharti la kwanza,

1. Tulitakiwa kuleta m.b.oo ya mwehu,
2. Kuku mweusi.
Ikabidi tucheke, yule jini akaanza kutandaza makofi gizani, ilibidi tutimue mbio,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
da mm niliwahi kwenda kwa mganga bhana kisa mchepuko

INSHU ILIKUWA HIVI

Nilihamishwa kikazi mwaka 2017 kwenda mbeya wilaya ya kyela..so familia niliiacha Dar..kufika kule baada ya miez 2,3 kama wanaume wengi tulivyo..nikashikwa na GENYE la hatari na mm sina tabia ya kuchukua wadada wa bei rahic rahic..mm napendaga wadada wenye status flan hv(ameajiriwa au amejiajiri)..cha msingi awe na kitu cha kumwingizia hela..maana mm pia nna KAUBAHILI flani hv

Sasa nikapata manzi mmoja alikuwa anafanya kazi kwenye taasisi iliyo chini ya ufadhili wa watu wa marekani..Sex 2,3 manzi akawa hazioni siku zake(alinitegea makusudi)baada ya kama wiki hvi akapima mimba akakuta ni POSITIVE....nikamwambia atoe mimba AKAGOMA KATA KATA

Kidume nikapiga hesabu nikaona njia zote za kumshawishi ni ngumu..siku moja natoka zangu mjini bodadaboda niliemkodi 4m no where nikamshirikisha inshu yangu..akanambia hyo SIMPLE tu..kama niko radhi anipeleke kwa wataalamu,Nikakubali

Kesho yake akanipeleka..kufika mganga akanambia niandike jina lake kwenye karatasi...akaichukua akaiweka kwenye chungu..akachukua madawa ya kienyeji mengi mengi akayamimina kwenye chungu..akachukua mafuta ya taa akawa anayamimina kwenye chungu then akachukua njiti akaiwasha akaitupia ndan ya chungu...ukatokea moto mkubwa tu...akawa kama anakoroga koroga huku anaongea maneno ya ajabu ajabu hata siyaelew...ghafla ule moto ukazima paaap..AKANAMBIA KAZI IMEISHA..KOMBORA LISHATUMWA

Then akanipa sindano imechomewa kwenye karatasi flan akanambia nikaitupe sehem ambayo hakuna mtu atakaeniona

Baada Ya kumaliza kazi..jioni dem ananipigia simu kunambia damu zimemtoka...so akaenda hospital kupima akakutwa hana mimba

Yani hapo niliamini kweli Uganga upo na yule demu nilimterminate kbsa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ntakufa na shida zangu, kwa mganga siendi kamwe! Mungu asiponiijilia katika shida zangu potelea mbali,

ZABURI 118
5 Katika shida yangu nalimwita BWANA;
BWANA akanijibu akaniweka panapo nafasi.
6 BWANA yuko upande wangu, sitaogopa;
Mwanadamu atanitenda nini?
7 BWANA yuko upande wangu, msaidizi wangu,
Kwa hiyo nitawaona wanaonichukia wameshindwa.
8 Ni heri kumkimbilia BWANA
Kuliko kuwatumainia wanadamu.
9 Ni heri kumkimbilia BWANA.
Kuliko kuwatumainia wakuu.


Mleta uzi hujawahi kuwa Mkristo wewe ni mshirikina tangu awali unatafuta watu wa kuwapotosha.
 
 
Waliowahi kuja Msata Kilingeni wajitokeze hapa [emoji144][emoji144][emoji144]

Jr[emoji769]
Waganga wengi wasanii tu,hakuna la maana hata kidogo! Hivi Mshana wewe na uchawi wako kwa mfano ukutwe umechelewa kwenye uchawi halafu mwenye nyumba akukatekate na mapanga itakuwaje?
 
Waganga wengi wasanii tu,hakuna la maana hata kidogo! Hivi Mshana wewe na uchawi wako kwa mfano ukutwe umechelewa kwenye uchawi halafu mwenye nyumba akukatekate na mapanga itakuwaje?
Haiwezekani na haitakaa itokee

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…