Kwa wale tuliowahi kwenda kwa waganga wa kienyeji, tukutane hapa

Kwa wale tuliowahi kwenda kwa waganga wa kienyeji, tukutane hapa

Sio kweli...mie nna miaka kumi toka nianze ujasiriamali...ukitaka ujimix nenda huko[emoji28]! Mie hata shipa la kuwaza kwenda huko halijawah amka
Hata mimi mkuu, yaani kwa mganga ni big NO bora nife na tai shingoni.

Mimi ni mjasiriamali mzuri tu, nafuata kanuni zote za ujasiriamali. Namshukuru Mungu mambo yanaenda vizuri

Ila kwa mganga sitathubutu na sijawahi fikiria.

Na nmefuatilia nyuzi za shuhuda hapa Jf, naona wengi wanatapeliwa tu. Pia mganga anakupa temporary solution ili urudi tena uwe mtumwa wake

NB
Kumtegemea binadamu ni big NO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie bahati mbaya au nzuri marafiki na baadhi ya ndugu zangu walienda kwenye hizo ndago...hha awakikuelezea utabaki kucheka ufe . mtot wa aunt alienda fata utajiri kigoma akaambiwa aoge nje ya mlango wake mchana kWeupee🤣! Kweli akawa tajiri btn 1998-2000 visiwani huko alikua title😅😅..akarudi kwenye umaskn baada ya kuambiwa inahitajika damu ya mwanae ya nn yote hiyo sasa
 
Yaani mie quartely najifanyiaga assessment wapi nikp dhaifu wapi nikp fresh..kwa mfanyabisshara yoyote yule..ukiamua kuwa honest kbs na mwenendo wa maisha yako utajua wapi unakosea...

Kuna bishoga alishika hela kubwa sana...ghafla hela imekata..kabla y kukata nilimwambia oya njia unazopita jitahidi urekebishe ( alikua anaibia sana client wake) nikajua iko siku atarudi back sq 1! Ameanguka hana pakishika..hataki kuangalia alipoangukia...amechanganyikiwa anashinda kwa hao waganga...wengine wanamla kbs uwiii...namwambia rekebisha hili na hili na kubali kianza na moja haelewi anaamini amelogwa[emoji1784][emoji1784]! Haiwezekana aje bibi au mtu asieyeelrwa hesabu ukampgia mahesabu kila mtu ukamuongea hela za juu nature ikakuacha! Never
Be honest to yourself mambo yataenda tu iwe isiwe!..na usipende kutafuta sababu kusingizia jambo au mambo..no..be honest utagundua wapi unafeli
Kweli mkuu, honesty is the best policy. Kama ni mjasiriamali fuata ethics na principles zote za ujasiriamali, ukiteleza tizama ulipojikwaa otherwise Nature itakuumbua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie bahati mbaya au nzuri marafiki na baadhi ya ndugu zangu walienda kwenye hizo ndago...hha awakikuelezea utabaki kucheka ufe . mtot wa aunt alienda fata utajiri kigoma akaambiwa aoge nje ya mlango wake mchana kWeupee[emoji1787]! Kweli akawa tajiri btn 1998-2000 visiwani huko alikua title[emoji28][emoji28]..akarudi kwenye umaskn baada ya kuambiwa inahitajika damu ya mwanae ya nn yote hiyo sasa
Sasa si unaona, yaani safari moja huanzisha nyingine, huyo angekuja kupukutisha ukoo mzima halafu baadae wangemchukua na yeye akatumikie wengne

Hana hamu! Alikua anapeleka.dagaa lori zima tunduma..ila anakuambia alikua anaona vioja balaa njia nzima ..alikua anaweweseka sana...! Hapana natamani kuwa tajiri ila sio kwa namna hizo jamani!..ptu
 
Siku nikienda nitaleta mrejesho ila kitakachonipeleka moja ni kufanya utafiti kwamba je,hivi ni kweli hizo tunguli zina effect kwenye maisha..?
Na la pili nadhani itakuwa mapenzi😅
Kama sio hilo basi nawania kiti Cha ikulu full stop😅

Nani alikwambia ukiwania hicho kiti unatakiwa kwenda kwa witchdoctor?
 
Bado ni Maskin au
Mie bahati mbaya au nzuri marafiki na baadhi ya ndugu zangu walienda kwenye hizo ndago...hha awakikuelezea utabaki kucheka ufe . mtot wa aunt alienda fata utajiri kigoma akaambiwa aoge nje ya mlango wake mchana kWeupee[emoji1787]! Kweli akawa tajiri btn 1998-2000 visiwani huko alikua title[emoji28][emoji28]..akarudi kwenye umaskn baada ya kuambiwa inahitajika damu ya mwanae ya nn yote hiyo sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona anatuchanganya sasa.
Sio anatuchanganya sema ndio asili yake kwa maana kwako alivyo sio kwangu alivyo.. ila anauelewa wa kuwa tupo.. na ni huyohuyo anaejua kuwa mtu hataki kile alichonacho bali ambacho Hana!😜
 
Back
Top Bottom