Mr JM
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 266
- 466
Juzi nipo na ndugu yangu mmoja yeye ni dereva wa shirika linamilikiwa na dini flani ananiambia huwa kuna padre anampelekaga kwa mganga kwa siri nilistaajabu mno mno ananiambia nyie acheni haya maisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juzi nipo na ndugu yangu mmoja yeye ni dereva wa shirika linamilikiwa na dini flani ananiambia huwa kuna padre anampelekaga kwa mganga kwa siri nilistaajabu mno mno ananiambia nyie acheni haya maisha
Wanafanyiana sana. Kuna padri mmoja nae alimloga mwenzake asipande cheo. Huyo mwingine ghafla tu aliumwa sana tu, ikabdi akacheki. Alicheki kwenye ramli ikaonekana mwenzake anamfanyia vitimbwi. Na ni kweli alikua anamchezea na alienda kuaguliwa Tanga! Hawa jamaa waache tuu.Juzi nipo na ndugu yangu mmoja yeye ni dereva wa shirika linamilikiwa na dini flani ananiambia huwa kuna padre anampelekaga kwa mganga kwa siri nilistaajabu mno mno ananiambia nyie acheni haya maisha
Kwenda kwa mganga si dhambi hakuna shida yeyote katika Hilo kwenye new world waliowengi hukimbilia hospitalHakuna lolote hapo. Matapeli watupu!
Kwanza unaanzaje kwenda kwa mganga? Licha tu ya mazuio ya kidini, lakini pia kama mtu mwenye akili timamu asiye na dini yoyote, unawezaje kwenda kwa mganga?
Hakuna cha uchawi wala kulogwa! Ujinga mtupu!
Imani za akina kinjektile ngwale hizi! Mwishowe wajerumani wakamnyoosha na genge lake uchwara la wachawi!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kashetani kako kazini, kanasaka wafuasi,
Shindwa legea na udondoke pumb**u
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15][emoji15][emoji15]Waliowahi kuja Msata Kilingeni wajitokeze hapa [emoji144][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23]wee muache tu
Jr[emoji769]
Kashetani kako kazini, kanasaka wafuasi,
Shindwa legea na udondoke pumb**u
Sent using Jamii Forums mobile app
Waganga anakupa solution fasta...ila maombi sometimes watu wanavunja au wanapiga vitu wasivyojua vimetegewa wapi..wachawi Wana formula...Sasa we unaoomba kitu ambacho hujui kilitegwa vipi..ilo Ni tatizo...pia walokole wengi Hawajui jinsi ya kuita malaika wa kuwasaidia..hawajui majina ya MUNGU yenye nguvu ambayo ukitaja lazima kitu kiwe..ila wachawi wanajua kukusanya roho..pepo na jinni na kuyatuma watakavyo.......Sasa bora niende zangu kwa mganga aniambie fasta na kusolve tatizo bila kumpoteza muda
warumi umeshawai kupewa masharti magumu na mganga hadi yakakuogopesha endapo utayashindwa
kaka ,Waliowahi kuja Msata Kilingeni wajitokeze hapa [emoji144][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]