Kwa wale tuliowahi kwenda kwa waganga wa kienyeji, tukutane hapa

Kwa wale tuliowahi kwenda kwa waganga wa kienyeji, tukutane hapa

Mkuu umewekeza mno kwenye hayo mambo ya giza.

Achana nayo. Mwisho wa siku Mungu ndio mmiliki wa kila kitu kote.

Binafsi amenivusha katika nyakati za giza kabisa. Itoshe kusema tu kuwa yupo. Na anasikia kila jambo. Kabisa kabisa.
 
Juzi nipo na ndugu yangu mmoja yeye ni dereva wa shirika linamilikiwa na dini flani ananiambia huwa kuna padre anampelekaga kwa mganga kwa siri nilistaajabu mno mno ananiambia nyie acheni haya maisha
Wanafanyiana sana. Kuna padri mmoja nae alimloga mwenzake asipande cheo. Huyo mwingine ghafla tu aliumwa sana tu, ikabdi akacheki. Alicheki kwenye ramli ikaonekana mwenzake anamfanyia vitimbwi. Na ni kweli alikua anamchezea na alienda kuaguliwa Tanga! Hawa jamaa waache tuu.
 
Hakuna lolote hapo. Matapeli watupu!

Kwanza unaanzaje kwenda kwa mganga? Licha tu ya mazuio ya kidini, lakini pia kama mtu mwenye akili timamu asiye na dini yoyote, unawezaje kwenda kwa mganga?

Hakuna cha uchawi wala kulogwa! Ujinga mtupu!

Imani za akina kinjektile ngwale hizi! Mwishowe wajerumani wakamnyoosha na genge lake uchwara la wachawi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna lolote hapo. Matapeli watupu!

Kwanza unaanzaje kwenda kwa mganga? Licha tu ya mazuio ya kidini, lakini pia kama mtu mwenye akili timamu asiye na dini yoyote, unawezaje kwenda kwa mganga?

Hakuna cha uchawi wala kulogwa! Ujinga mtupu!

Imani za akina kinjektile ngwale hizi! Mwishowe wajerumani wakamnyoosha na genge lake uchwara la wachawi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenda kwa mganga si dhambi hakuna shida yeyote katika Hilo kwenye new world waliowengi hukimbilia hospital

Tatizo na dhambi inapokuja ni hapo kwenye ushirikina

SHIRKI NI DHAMBI NA NILAANA PIA

Yako Mambo ambayo huwez mpa mwanadamu mwenzio na kumuamini kuwa yeye ndo atamaliza yote

SHIRKI HAIFAI RUDI KWENYE MSTARI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waganga anakupa solution fasta...ila maombi sometimes watu wanavunja au wanapiga vitu wasivyojua vimetegewa wapi..wachawi Wana formula...Sasa we unaoomba kitu ambacho hujui kilitegwa vipi..ilo Ni tatizo...pia walokole wengi Hawajui jinsi ya kuita malaika wa kuwasaidia..hawajui majina ya MUNGU yenye nguvu ambayo ukitaja lazima kitu kiwe..ila wachawi wanajua kukusanya roho..pepo na jinni na kuyatuma watakavyo.......Sasa bora niende zangu kwa mganga aniambie fasta na kusolve tatizo bila kumpoteza muda

Au sio ? Ahahah


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
warumi umeshawai kupewa masharti magumu na mganga hadi yakakuogopesha endapo utayashindwa

Mmh hapana kwa kweli , labda tu kutokunywa pombe kwa mda wa wiki tatu na kutokufanya mapenzi, mengine ya kawaida sana ... nilikua nawazaga Sijui utaambiwa ulete mavi ya sisimizi na mkojo wa nyoka mweusi, lakini wala ... mambo rahis Tu kwa kweli .. labda niseme sijawah kutaka mambo ya kutisha zaidi maana kuna level nyingine ukifika Ndo inakua balaa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nakumbuka nilimtia mimba Binti wa mkuu wa kambi (naiweka kapuni) sintosahau kwani niliamua kuacha kazi ya ujeda baada ya kutonywa kwamba ishu boss anaijua yote baada ya binti kubanwa.
Nilipofika home wazee waligundua sipo sawa nikafunguka mzee mmoja akacheka sana akasema yaani unataka kuacha kazi kwa jambo dogo hivi?
Wakanambia kazini nitarudi bila Shida kesho yake nikawekwa mtu kati nikaombwa majina ya baba na bintiye nikachanjwa hadi kwenye masaburi yaani yule Mzee alinipiga wembe karibu kabisa na jicho hadi nikajisemea Leo Tigo haiponi.
Mwisho nikapewa unga flani nikamwage nyumbani na ofisini huwezi amini yule boss alifumwa na mkewe akimla yule bintie mjamzito!
ugomvi uliisambaratisha kabisa familia kwani mama alimwambia mmewe kumbe anasingizia watu wengine akati mimba ni yake.
Yule boss ile scandal ilimstaafisha kwa manufaa ya umma. Baadae nikahamishiwa makao nacheo juu. Lakini huwa nikwaza nafika mbali sana.
 
Kunakiipind nilitaka kwenda kwa waganga kumrudisha mpenzi wangu akiyekuwa akisumbuliwa na mapepo. Ni kuwa alianza nichukia bila sababu lakini ilikuwa ni influence ya mapepo. Mwishoni alikuwa akija kwangu lazima mapepo yampande so akaacha hata kuja kwangu na kuanza nichukia.

Nilimconvice nimpeleke kanisani aombewe kumbe ndyo ikawa nachocheea moto. Nikazidi chukiwa mpaka akasema tuachane kabisa. Allipokuwa akiniona tu anaugua ghafla.

Kwa upendo niliokuwanao niliumia sana. Nilifanya njia nyingi ili nimsaidie ikashindikana.

Rafki yangu akanishaur niende kwa mganga ili nitumie dawa za mvuto nimrudishe then anisikilize kila nachotaka ili iwe rahisi kumpeleka kwenye maombi aombewe.

Sikuwahi kwenda kwa mganga na sufikirii kufanya ivyo maisha yangu yote. Nilishauriana na Rafiki yangu yeye aende anilitee iyo dawa kwa gharama zangu.

So aliniletea dawa unaweka kwenye kibatari kinawaka siku 3 unakuwa unaongeza tu dawa kwenye mafuta huku unanuwia. Nilifanya ivyo kwa siku 2 ya tatu ikanshinda. Chumba changu kilijaa mosh mweusi nkakata tamaa.

(Hii ni story ndefu nakatisha tu baadhi ya matukio. )

Nilikata tamaa na nikarudi kwa Mungu kufanya Maombi. Nilifunga na kumuombea mungu amtibu mapepo yake. Ila alizidi kunichukia mpaka tukaacha kuongeleshana kabisa.

Nikaamua kwenda kuombewa mimi mwenyewe maana mambo yangu yalikuwa yamekwama toka nianze kudate naye. Biashara zangu zilikuwa napata hasara tu. Na mpaka nilikoswakoswa kufa kwenye ajari kubwa. 2017.

tapatalk_1543167926525.jpg


Nilipofika kwa bwana wa maombi akaniombea na kuniambia kuwa niliingilia ndoa ya watu. Yani yule dada alikuwa kama kaolewa na Jini. Na kama anajini mahaba. ( actually yule mtoto alikuwa anapenda ngono sanaa sijawai ona) So alichonishauri ni kuachana naye kabisa la sivyo nitapotezwa kwenye ramani ya dunia. Nilimsisitiza anisaidie amtolee mapepo niweze ludiana naye ila alinijibu kwa kusema. " kama imepangwa kuwa ndye atakuwa mke wako utakuwa naye ila kama sivyo hata usijisumbue."

Kweli nikafata ushauri na kuanza maisha mapya. Nikapta GF mwingine mpaka tukafunga ndoa. Biashara yangu na maendeleo yangu yaliludi katika mstari kwa kasi ya ajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom