Kwa wale tuliowahi kwenda kwa waganga wa kienyeji, tukutane hapa

No zake tqfadhali
 
Hukuchukua no
 
No
 
Naomba no
 
Kama ni kweli hujawahi kukanyaga huko ni vizuri sana! Endelea kushikilia msimamo huohuo ila maisha hayana formula na hujafa hujaumbika
1.Naomba kujua nini tofauti ya mganga na mchawi?
2: je mganga anaweza kukufanya uwe mtumwa kwake? Yaani ukienda mara moja basi kila ukipara shida ndo umuwaze wa kwanza?
 
Kama ni kweli hujawahi kukanyaga huko ni vizuri sana! Endelea kushikilia msimamo huohuo ila maisha hayana formula na hujafa hujaumbika
Mimi niliwahi kukanyaga mara moja baada ya kushawishiwa na Bibi yangu mzaa mama, ilikua ni ishu ya kajibiashara
Alichokifanya yule mzee alinipa dawa kwa ajili ya kujikinga na watu wabaya maana nilishauriwa kwenda kwa sababu nilikua nawindwa na watu wabaya kuna wengine walikua wananionyesha vitendo vya kishirikina wazi wazi ila tangu hapo sijakanyaga tena na mzee mwenyewe alifariki miaka sita iliyopita
Huyu mzee namfahamu sababu ya ukaribu na ukoo wetu
 
Nakumbuka mwaka 2015 katika kutafuta maisha nikakutana na Agent wA kazi nchi z Ughaibuni kweli yule Agent alinipanga nikapangika aliitaji laki 320 kwa Maandalizi ya safari basi bana nikampatia ile pesa tokea apokee ile pesa sound zikaanza kwanza kumuona tu ikawa shida miezi ikaenda hamna safari nikimwambia pesa yangu hasemi chochote. Siku moja nipo pale kigamboni salon nikamgusia jamaa mmoja story nzima akasema kazi ndogo akanipa namba ya baby yake anaitwa mzee Kishaba kutoka kigoma tena akasema kitambulisho kwa jina langu alafu muelezee.kweli nikafanya vile babu akasema unataka tufanye nini tuuwe au tumtishe mhhh nafsi yangu ikawa inaenda mbio suala la kuuwa zangu nikasema tumtishe tu Ili pesa irudi akaomba jina moja nikampa jina mama ake sikulijua akasema tutatumia jina la mama etu HAWa bx akafany kazi uwezi amini siku 3 jioni napigwa simu na Mzee ata simjui amepewa pesa anitumie simuamini maskio yangu.Ila kosa nililofanya sikumwambia yule babu labda akili ya utoto ilikuwa inanisumbua
 
Niliendaga kwa mganga kumroga mzazi mwezangu ili aachane na mume wake Sasa dahh mashariti niliopewa nikachemka, Nikapigwa Elfu 30...
 
Poa mkuu mm jamaa yuko vizuri sana wala simpigii promo vitu vyake anakufanyia vinatik then unamlipa, yapo mengi siwezi expose humu, ni pm
sijui namna ya ku PM ila na mimi nina linalofanania na hilo
 
Hello nisaidie namba ya uyo mganga
 
Hello nisaidie namba ya uyo mga
Ngoja sku nikienda nitamrekodi kwa siri then nitaiiweka humu mm binafsi namkubali asilimia mia kwani kazi nilizompa zote zilikwenda kama nilivyotaka, kuna kipind nilikua na kesi tukafanya mambo wale jamaa hawakukanyaga mahakamani hadi kesi ikafutwa,
Hello nisaidie namba yako nataka kusaidia na uyo mganga wa tabora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…