Kwa wale tuliowahi kwenda kwa waganga wa kienyeji, tukutane hapa

Kwa wale tuliowahi kwenda kwa waganga wa kienyeji, tukutane hapa

Anza kusimulia wewe ulienda kwanini?
Na unazungumzia msaada upi labda?
 
Mkuu nasikia wazee walienda kwa waganga kufukuza corona tanzania. Wakafanikiwa ndyo maana hata barakoa wakawazuia Raia wasivae kabisa kama mashariti ya mganga.
 
Msaada wa waganga wa kienyeji ni kusugua papuchi kwa wake za wanaume wazembe kitandani, na kwa waganga wa kike msaada wao ni kujisugua kwa mihogo ya wanaume ambao wake zao hawawapi papuchi waume zao.

Umeelewa we fala au nikupe jibu la nyongeza?! 🤣
 
Kabla ya kuletewa hayo madawa ya Wazungu na Wahindi unayotumia sasa, Mababu na Mabibi zako walitibiwa wapi na akina nani? Au hujawahi kuwauliza!
 
Tuanzee na wewe tuelezee
Nimewah kwenda nilikutana na chale za kutosha lakini bado mambo yaliendelea kwenda mrama,Niliona biashara imejaa hasara kibao nikadhani labda huko kuna namna flani tunaweza kufanya ili kuepusha hasara zilizokuwa zinajitokeza kwenye biashara.
 
Msaada wa waganga wa kienyeji ni kusugua papuchi kwa wake za wanaume wazembe kitandani, na kwa waganga wa kike msaada wao ni kujisugua kwa mihogo ya wanaume ambao wake zao hawawapi papuchi waume zao.

Umeelewa we fala au nikupe jibu la nyongeza?! 🤣
Hasa mganga awe wa dawa za uzazi. Hatari sana. Anawalamba kwa foleni bila kondomu.
 
Waganga wa kienyeji,Waganga wa jadi,Waganga wa tiba asili,waganga wa tiba mbadala,hivi tofauti yao ni nini...?
 
Habari wana jamvi,wajuzi wa mambo.

Nije katika makusudio ya uzi huu.UCHAWI,UPO,NA WAGANGA WA KWELI WAPO UTAKI ENDELEA KUBISHA,UONE KAMA UTAPATA FAIDA YOYOTE.

Kiukweli maisha yanaweza kukutuma kufanya chochote ili kupata unafuu wa mambo yanayo kuzonga.ima maisha,maradhi,mapenzi nk.binafsi ninekwenda kwa sagoma kwa sababu kuu moja.

Kuna jirani yangu nimepakana nae mpaka wa shamba, kiukweli huyu jirani ni mrafi wa ardhi sijapata kuona.anavyo igombania kana kwamba akifa anaichukua hiyo ardhi, baada ya kugombana kwa mda mrefu niliamua kumuachia, ili amani idumu. ila kwa masharti aniambie, anataka ukubwa upi na sitotaka tena majadiliano nayeye kuhusu mipaka tena.alijubali na nikaenda nae kwa mjumbe wa shina, tukakubariana vizuri.

Baada kukaa kwa mda kidogo nikaenda kwa babu mmoja bungu kwa ndani uko.nilipo fika nikamueleza mzee kua nimedhurumiwa eneo langu na jirani yangu.nikaulizwa utanaje?nikasema mi nataka eneo langu lirudi kwa amani,na basina majadiliano. Basi kazi ikafanywa, nikombwa nikannue baazi ya vitu,nikatekeleza. Aisee sikuamini kilicho tokea baada ya zile siku7 nilizo pewa na babu. Alikuja mwenyewe nyumbani akiwa na mjumbe yuleyule, na makaratasi tulio kubaliana, na kuongea mbele ya mjumbe kua kuazie leo eneo nalirudisha mikononi mwako, na kuniomba msamaha wa kufa mtu tena uku akitokwa na machozi, kana kwamba anaumia kiasi kikuvwa mno.

Nikamuuliza kwa nini umeamua kurudi tena? Akasema kaka,roho yangu inauma kwa kutenda uhovu huu,nimejifikiria na kutafakari nimeona sina sababu ya kufanya hivyo.ok!mjumbe unamsikia jirani yangu? Je, ushauri wako? Akasema kubari lirudi mikononi mwako kwa ahadi isiyo jirudi tena swala hili.ok sawa tukaa chini na kuyamaliza.

TOKEA APO NIMEAMINI DAWA ZIPO NA ZINAFANYA KAZI.

JE, WEWE UMEKUTANA NA KISANGA GANI KATIKA MAISHA NA SAGOMA?
 
Ulimpa kwa kupenda sasa mganga ulienda kufanya nini kama vile tangazo la kibiashara
 
Niliwakuta wanafanya mazingaombwe mara wakatupaka dawa ili tuone miujiza yao. Hapo niko kidato cha tatu.
Hawakufanya tuone kitu badala yake wakasema kila aliyepakwa dawa awafuate au wakivimba mikono baadae wasijelaumu.
Mie huyoo nikaunga tela kuwafuata huko uchochoroni ngarenaro hadi walipokuwa wana 'ofisi' yao.

Kuna dada akaingia nikasikia analalamika yeye ni housegirl na bosi anamnyanyasa hivyo anaomba bosi atengenezwe.

Kuna mzee akaingia nikasikia analalamika amezulumiwa shamba hivyo waliomzulumu watengenezwe.

Wakaendelea watu wengi mie bado naogopa.

Ikafika ndo nimebaki wa mwisho nikaingia. Nikakuta jamaa amekaa kitandani kumejaa maburungutu ya hela na matungyli na hirizi kadhaa. Akaniuliza nataka nini nikamwambia sina shida yeyote ila kwa kuwa wamesema aliyepakwa dawa aende na mie ndo nimefika.

Akanihoji endapo ningetaka fedha kwa ajili ya shule. Nikamwambia sihitaji maana sitakuwa na jibu la kuwapa wazazi kuhusu nilipotoa. Akaniambia niweke sikio kwenye moja ya tunguli nisikilize mizimu inasemaje. Nikatega sikio huku kichwa kimemuelekea yeye hivyo siwezi kumuona. Mara nikasikia sauti zisizoeleweka nikataka kutoa sikio akanishikilia kichwa. Nikawa nahojiwa na mizimu kama inisaidie kufaulu n.k kisha nikasikia kama inasema niweke hela niliyo nayo pale. Nikageuka kwa kasi nikakuta jamaa ana microphone mdomoni ikabidi niipotezre kama sijaona kitu maana kwa watu pale. Ikabidi niseme sina hela isipokuwa mia mbili tuu. Basi nikaiweka hiyo miambili na kusepa.

Hadi leo siamini katika uganga.
hii nayo kali[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ninecheka sana bro
Msema kweli mpenzi wa mungu.nilishakwenda kwa mganga.kwa ajili ya demu.tulikuwa wapenzi ghafla aka badilika.akawa mgumu kinomaaa.hanipendi tena.niliumia.kuna rafiki yangu yeye ni mganga nikamueleza akasema tulia atarudi.
Tukafanya Mandingo mixer kuoga njia panda usiku.kuchoma sana UDI.kupasua Nazi n.k
Kiukweli demu alianza kubadilika na kuanza kuongea na Mimi.Mara salam n.k.
Siku zikapita tukarudi tena kwenye penzi.ila hatukudumu tuliachana.
Ushauri kama MTU hakupendi ACHANA NAE.MADAWA HUISHA NGUVU.
 
Kila mtu huwa ana imani yake

Kila mtu ana mbinu zake za kutatua matatizo yake.

Wapo ambao wakipata shida kidogo tu ni kwa babu sangoma wanakimbilia.

Tujuzane, vipi gharama huko? Shida zinatatulika? Permanently or temporarily?

Na pia nasikia every dark magic comes with a price, ni kweli..? Ni price zipi mnalipa kupata magic nyeusi hizo

Tujuzane

Binafsi mimi sijawahi kukanyaga kwa sangoma na sitakaa nikanyage huko
Kujua ulimwengu wa giza kuna mengi sana. Mshana Jr. Shahidi.
Kwa uande mwingne unaweza ita MIla na Destur.
Wengi washaenda kwa waganga humu, japo si wote.
Kuna wakati unaweza kutana na waganga wa kweli wakakusaidia, utaamini.
Kuna wakati utakutana na wasanii, wakakupoteza na ukapoteza kabisa iman na wajuba hao.
Dunan kuna mengi sana na usiombe yakukute, Ila wapo na wanasaidia watu.
 
Ulimpa kwa kupenda sasa mganga ulienda kufanya nini kama vile tangazo la kibiashara
Nilimpa kwa sababu kuondoa kero za kupigizana kelele,za kira siku so!niliamua kufanya hivyo ili funika kombe mwanaharam apite.
 
Back
Top Bottom