Poa poa mkuu,best of lucky.Usiwaze mkuu,ngoja tutafute kwanza
Asee naingia hapo chugga masikukuu haya inabd nihudhurie hyo maeneo c vibe kama lote asee hapo arifu?Fasi ya kijenge arifu.
Chalaa angu pale ni full hakuna paringi arifu.Asee naingia hapo chugga masikuu haya inabd nihudhurie hyo maeneo c vibe kama lote asee hapo arifu?
Thanks, you too brother.Uzichange nyingiiii hopefully tutaonana tuPoa poa mkuu,best of lucky.
Chalaa angu pale ni full hakuna paringi arifu.
Amsha amsha ya kutosha ni we na dooooo zako.
Appreciate mkuu,karibu aisee.Thanks, you too brother.Uzichange nyingiiii hopefully tutaonana tu
Pamoja bablai,mia.Haina kwelee babangu tutasoma hyo site asee
Chalaa angu pale ni full hakuna paringi arifu.
Amsha amsha ya kutosha ni we na dooooo zako.
Pale mpunga wako tu mkuu,kuna mafuriko ya hatareeee ya totoz.Kuna haja yakuingia na totoz ya adabu hapo au zipo hapohapo za ela yote?
Pale mpunga wako tu mkuu,kuna mafuriko ya hatareeee ya totoz.
Unajichagulia tu ndukiiii.
Haina kwere chalaa angu,safari njema.Poa chalii angu tutasomana asee
Haina kwere chalaa angu,safari njema.
Diamond si kama kiji pub tu hamna lolote mle! Imejifia tayariBlack Diamond ishakufa?
Shivaz umenikumbusha kipindi niko jeshini nilikuwa nikitiroka naenda kununua hapo mademuShivaz
Kumbe wameshafulia eePale pamechoka siku hizi
Me mwenyewe nimekumbuka zile nyama zao za kuchoma ila nimefika pale muda.Sio pazuri kama zamani ila wanachoma kuku pale nje na mishkaki ni watamu