Kwa wale tunaoenda xmass december arusha na moshi tuambiazane viwanja vya kukutania

Kwa wale tunaoenda xmass december arusha na moshi tuambiazane viwanja vya kukutania

Asee naingia hapo chugga masikuu haya inabd nihudhurie hyo maeneo c vibe kama lote asee hapo arifu?
Chalaa angu pale ni full hakuna paringi arifu.

Amsha amsha ya kutosha ni we na dooooo zako.
 
Thanks, you too brother.Uzichange nyingiiii hopefully tutaonana tu
Appreciate mkuu,karibu aisee.

Ila jiandae kisaikolojia,ma traffic wamemwagwa road hatarii sana hata mvua inyeshe vp hawatoki road na makoti yao ya mvua,hahah.
 
Kwa wale waendao Arusha kuna club mpya imefunguliwa inaitwa COCORICO mbele ya Impala karibu na eneo linaitwa Cocacola. Iko njema sana. Try to visit at your very convenient time. Nilikuwa hapo Ijumaa.
 
Back
Top Bottom