OCCID Dominik
JF-Expert Member
- Apr 29, 2024
- 218
- 395
Habari ya wakati huu nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano🖐️🖐️🖐️,
Isee kwa wale mnaofuatilia au kufahamu maswala ya kijeshi kuna jambo huwa naliona ama kulisikia linanichanganya nisijue why.
Ipo hivi ni kwanini jeshi la ulinzi la Marekani hupenda kutumia kamandi ya wanamaji (MARINE FORCE) katika utekelezaji wa operation zake nyingi nowdayz tofauti na kipindi cha nyuma. Tumezoea nchi nyingi duniani kunapotokea operation mbalimbali wanatumia kamandi husika kutokana na mazingira wanayokwenda. Mfano katika opresheni ya kumkamata osama na kikundi chake ilitakiwa waende ARMY (kamandi ya ardhini) ila wakaenda Wanamaji.
Vipi huwa kuna ajenda ya siri au ni kuwachanganya maboya manaake ninachoamini marine wapo specialized zaidi baharini kuliko infantry ambao medani za nchi kavu ndo pao Japo sikatai huwa wanafanya poa tu.
KARIBUNI TUPEANE UMBEA
Pichani ni mfano wa sare za askari wa marine na nchi kavu kwa wasiojua tofauti ya sare zao.