OCCID Dominik
JF-Expert Member
- Apr 29, 2024
- 218
- 395
- Thread starter
- #21
Ok somehowHawa kwa Marekani wanapata mafunzo yote ya ardhini, teknolojia nk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok somehowHawa kwa Marekani wanapata mafunzo yote ya ardhini, teknolojia nk
Isee Mtumishi wa Bwana89 umetisha kaka ahsante kwa maarifa,ila nasikitika mchangiaji hajui seal team ni hao hao marineSeal
Se-sea
A-air
L-land
Mkuu kuna Navy Seal, 75th Ranger Combat. Marine si jeshi la maji tu kama jina lilivyo bali linapiga mission kibao coz ni highly trained. Nadhani jina Marine ndilo linatuzinguaga lakini kumbuka kuna Navy pia kama nilivyotaka hapo juu.Habari ya wakati huu nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano🖐️🖐️🖐️,
Isee kwa wale mnaofuatilia au kufahamu maswala ya kijeshi kuna jambo huwa naliona ama kulisikia linanichanganya nisijue why.
Ipo hivi ni kwanini jeshi la ulinzi la Marekani hupenda kutumia kamandi ya wanamaji (MARINE FORCE) katika utekelezaji wa operation zake nyingi nowdayz tofauti na kipindi cha nyuma. Tumezoea nchi nyingi duniani kunapotokea operation mbalimbali wanatumia kamandi husika kutokana na mazingira wanayokwenda. Mfano katika opresheni ya kumkamata osama na kikundi chake ilitakiwa waende ARMY (kamandi ya ardhini) ila wakaenda Wanamaji.
Vipi huwa kuna ajenda ya siri au ni kuwachanganya maboya manaake ninachoamini marine wapo specialized zaidi baharini kuliko infantry ambao medani za nchi kavu ndo pao Japo sikatai huwa wanafanya poa tu.
KARIBUNI TUPEANE UMBEA
Pichani ni mfano wa sare za askari wa marine na nchi kavu kwa wasiojua tofauti ya sare zao.
View attachment 3039495View attachment 3039496
Yeahnavy nawapataMkuu kuna Navy Seal, 75th Ranger Combat. Marine si jeshi la maji tu kama jina lilivyo bali linapiga mission kibao coz ni highly trained. Nadhani jina Marine ndilo linatuzinguaga lakini kumbuka kuna Navy pia kama nilivyotaka hapo juu.
Acha umama! Unataka ubembelezwe ndiyo uandike.Sijui niandike nini au basi
USSR
Umeelezwa vizuri ila hutaki kuelewa mapemaKaka pasi na shaka hapa unacomment na kijana mfuatilivu haswaa wahaya mambo,kwa mantiki yako unataka kusema marine ni kamanda(jeshi) maalumu? Maana nimekujia hivi baada ya kuona umetoa mifano DELTA FORCE na SWAT,sikupingi,sababu unapozungumzia SWAT ni kikosi maalumu cha polisi wa Marekani sawa na kibongobongo FFU(CRT) ni tofauti ya ubora tuu kidogo,japo my point sio kuongelea SWAT,si ndiyo?
Jibu lako linatengeneza swali:operesheni ya kumkamata Osama bin Lade wana maji walitumika kwa sababu eneo lilikuwa Pakistan, nchi yenye mipaka ya bahari. Waliweza kutumia meli zao kufikia eneo na kutekeleza shambulio kwa urahisi.
Kuna mdau hapo juu kaaongea vizuri sana kwamba hawa wamekamilika kila idaraJibu lako linatengeneza swali:
Kwani vifaa vilivyotumika kwenda kumkamata si ni ndege aina ya helcopter, sasa hapo helicopter na jeshi la majini inakuwaje, unganisha dot vizuri ili jibu lipate mantiki.
Seal team sio wana maji tu usiwe mjuaji wa kipumbavu. Hiyo seal kirefu chake ni sea,air na land na SEAL TEAM 6 NI KIKOSI MAALUM CHENYE MAFUNZO MAALUM YA OPERATION ZA ARDHINI,MAJINI NA ANGANI NA NDIO KILITUMWA PAKISTAN ( ABOTTABAD) KWA GAIDI OSAMAKiingereza kiiiing.ukishasema seal team unazungumzia NAVY ambapo ni walewale wanamaji🤣🤣
Nilidhani uko deep kwenye masuala ya China tu. Simple and clearJeshi la Marekani (U.S Military) limegawanyika katika sehemu 6
Army (hili ndilo jeshi kuu la Marekani kwenye operation mbalimbali za kivita)
Marine Corps (wanapiga kazi ardhini na majini)
Navy (jeshi la wanamaji pia wanashirikiana bega kwa bega na vikosi vya anga inapohusu naval aviation)
Air Force (jeshi la anga)
Space Force (space operations pia kwa ajili ya space war)
Coast Guard (security katika domestic and int'l water)
Halafu ndani ya hayo majeshi 6 kwenye kila jeshi kuna special force kwa ajili ya special operation na wana training zao maalumu
■Special force ya U.S Navy ni SEALs. Hawa ndio walioenda kumuua Osama
■Special force ya Marine Corps ni The Marine Raider Battalions
■Special force ya Air force ni Air Force Special Warfare
■Special force ya Army ni the Rangers, the green Berets na the Night Stalker
SWAT , SPECIAL WEAPONS AND TACTICAL.hawa ni polis maalumu wa kupambana na matishia ya ugaidi hasa hasa kutegua mabomu na vilipuziKaka pasi na shaka hapa unacomment na kijana mfuatilivu haswaa wahaya mambo,kwa mantiki yako unataka kusema marine ni kamanda(jeshi) maalumu? Maana nimekujia hivi baada ya kuona umetoa mifano DELTA FORCE na SWAT,sikupingi,sababu unapozungumzia SWAT ni kikosi maalumu cha polisi wa Marekani sawa na kibongobongo FFU(CRT) ni tofauti ya ubora tuu kidogo,japo my point sio kuongelea SWAT,si ndiyo?
Jeshi la Marekani lina branch kuu sita, ya mwisho ilianzishwa kipindi cha Trump kama sikosei.Ngoja tuwaite T14 Armata na HIMARS waje watudadavulie
Ok good kwa maana hiyo SEAL ni ka kitengo maalumu katika marine au Navy au hakapo boths in navy and marine?Marines ni sawa na SEAL ila tu SEAL ni High Class wakati United States Marine Corps ni Basic SEAL training, wao hushambulia kwa kutegemea wingi wao na support kubwa ya silaha. Ndiyo maana Marines unaweza kuwaona hata Ubalozi wa USA wakiwa wanalinda wakati SEAL wao ni wazee wa Kazi sawa na Commando.
Comparing the difficulty of training and the roles of the Marine Corps, Navy SEALs, and Green Berets is a complex matter, as each of these military branches has its own unique challenges and requirements. Here's a brief overview of each:
In terms of sheer physical demands, Navy SEAL training is often considered the most physically challenging among these three branches. However, the difficulty of training is subjective and can vary depending on individual strengths, weaknesses, and personal experiences. Each branch has its own unique set of challenges and requirements, and what may be difficult for one individual may not be as challenging for another.
- Marine Corps: The United States Marine Corps is a branch of the U.S. military known for its rigorous training and demanding physical standards. Marines undergo tough basic training at boot camp, which is designed to instill discipline, physical fitness, and mental toughness. Marines are known for their proficiency in combat and their ability to operate in diverse environments.
- Navy SEALs: The Navy SEALs are a special operations force within the U.S. Navy. SEAL training, also known as Basic Underwater Demolition/SEAL (BUD/S) training, is widely regarded as one of the most challenging military training programs in the world. SEAL candidates undergo grueling physical and mental challenges, including Hell Week, a week-long period of intense training with minimal sleep. SEALs are trained for special operations missions, including counter-terrorism, direct action, and reconnaissance.
- Green Berets: The Green Berets are members of the U.S. Army Special Forces, known for their expertise in unconventional warfare, foreign internal defense, and special reconnaissance. Green Beret training, also known as the Special Forces Qualification Course (Q-Course), is a physically and mentally demanding program that emphasizes language proficiency, cultural understanding, and specialized skills. Green Berets are trained to work with partner forces in a variety of environments around the world.
C&P: Which is harder: Marine Corps, Navy SEALs, or Green Berets?
JaJibu lako linatengeneza swali:
Kwani vifaa vilivyotumika kwenda kumkamata si ni ndege aina ya helcopter, sasa hapo helicopter na jeshi la majini inakuwaje, unganisha dot vizuri ili jibu lipate mantiki.
Kibongobongo wanajeshi wa majini wanaitwa je,hebu nisaidie utofauti wa NAVY na MARINEUsichanganye
Marine na Navy.
Isee umeua kwa 98% mkuuJeshi la Marekani (U.S Military) limegawanyika katika sehemu 6
U.S Army (hili ndilo jeshi kuu la Marekani kwenye operation mbalimbali za kivita)
Marine Corps (wanapiga kazi ardhini na majini)
Navy (jeshi la wanamaji pia wanashirikiana bega kwa bega na vikosi vya anga inapohusu naval aviation)
Air Force (jeshi la anga)
Space Force (space operations pia kwa ajili ya space war)
Coast Guard (security katika domestic and int'l water)
Halafu ndani ya hayo majeshi 6 kwenye kila jeshi kuna special force kwa ajili ya special operation na wana training zao maalumu
■Special force ya U.S Navy ni SEALs. Hawa ndio walioenda kumuua Osama
■Special force ya Marine Corps ni The Marine Raider Battalions
■Special force ya Air force ni Air Force Special Warfare
■Special force ya Army ni the Rangers, the green Berets na the Night Stalker
Naam,Marine kwa marekani, sio jeshi la maji,
Marine Ni jeshi la wanajeshi makomando Maalum (elite forces) waloiva wenye mafunzo ya ziada.
Ni Kama ilivyo seal team, Delta force, SWAT n.k
Jeshi la marekani la majini linaitwa NAVY