Kwa wale tunaofuatilia Masuala ya Kijeshi kimataifa naomba ufafanuzi wa hili

Isee
 
Jibu lako linatengeneza swali:

Kwani vifaa vilivyotumika kwenda kumkamata si ni ndege aina ya helcopter, sasa hapo helicopter na jeshi la majini inakuwaje, unganisha dot vizuri ili jibu lipate mantiki.
Marekani hata Marine wana helicopter. Helicopter anayotumia rais wa Marekani ni ya Marine, inaitwa Marine One, kama ndege ya rais wa Marekani ilivyo ya Air Force na kuitwa Air Force One.

US Marine wanatumia helicopters. Wana kitengo chao cha aviation United States Marine Corps Aviation Unit.


The United States Marine Corps (USMC) uses helicopters for a variety of missions, including:

Transport: Helicopters transport ground forces and equipment.

Close air support: Helicopters support ground forces in combat.

Special-purpose roles: Helicopters can be used for amphibious assault and raid operations, fire support, interdiction operations, air-to-air operations, and more.
 
Hayo mafunzo yao ni kwa ajili ya kupiga waarabu na waafrika tu.Na sio Russia,China,Iran wala North Korea.
 
Tofautisha kati ya Marine na Navy Mkuu
Marine ni habari nyingine na wanaamini kwa kutatua matatizo mengi
Marines wana mafunzo yote sio ya maji tu hata ardhini
 
Nitajibu kwa mtazamo wangu while opening a room to be challenged. Marine army is easy to operate in terms of costs of operations while the results is higher than infantry and air forces; nitafafanua hapa
1. Meli ya kivita inaweza kupiga doria baharini kwa kutumia askari wachache na vifaa wakati bei ya kuiendesha meli ni ndogo as well, askari wanaweza hata kufanya zamu ya kupumzika/kulala while wengine wakawq alert tofauti na askari wa miguu, hawa wote wanatakiwa kua alert na isadi yao inakua kubwa. Halafu angani, ni gharama zaidi but again huwezi kua na askari wengi kwa wakati mmoja but also huwezi kuiweka ndege just for doria kwa masaa mengi angani tofauti na meli inaweza kukaa baharini zaidi ya mwaka.
Masahihisho kigodo; Osama hawakutumia wana maji, as fast I know, walitumika askari wa anga wenye mchanganyiko wa kimafunzo na askari wa ardhini; zilitumika chopper special ambazo were made special for that operation; hazikua na mlio na kikosi kilocho tumika kwenda kumkamata Osama kilikua kile kilichokua Afghanistan. Vijana wachache makomandoo na operation ilitumia almost 32 minutes; askari wa maji walihusika only kwenye kuuzika mwili wa Osama Bin Laden.
 
Marine sio kamandi ya maji.
Marine kwa marekani, sio jeshi la maji,

Marine Ni jeshi la wanajeshi makomando Maalum (elite forces) waloiva wenye mafunzo ya ziada.

Ni Kama ilivyo seal team, Delta force, SWAT n.k

Jeshi la marekani la majini linaitwa NAVY
Nope. Marine sio special force kama hizo ulizotaja. Ni branch ya jeshi la US ambayo ni versatille, yaani wana uwezo wa ku-operate majini na nchi kavu. Halafu SWAT ni kitengo cha polisi na sio jeshi. Special forces nyingine ukiacha Navy Seals na Delta Force ni Army Rangers, Green Berets, MARSOC, Air force Special tactics n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…