KUKU_UFUGAJI
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 857
- 1,727
Pira wana oyesha stesheni gani leo ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja niweke hapa tuone mkuuTBC inaonyesha nini huko huku inasoma No Service
Tbc kuna muda unacheki kuangalia serikali inafanya niniUna ujasiri sana mkuu...
Mi mtu anaefatilia TBC namuheshimu sana pia namuogopa kabisa an
😂😂
😂😂😂😂😂 Ongea kwa sauti ndogo..Tbc kuna muda unacheki kuangalia serikali inafanya nini
Tupe mrejeshoNgoja niweke hapa tuone mkuu
😂😂😂🙏🙏
TBC chenga?😂😂😂😂😂 Ongea kwa sauti ndogo..
Kuna watu hawapendi hiyo channel
Azam HDPira wana oyesha stesheni gani leo ?
Azam HD
TBC 1 ya wapi?TBC1. WANAONYESHA MPIRA
Tupe mrejesho
Mbona unabisha mkuu sasa 😂😂😂😂TBC 1 ya wapi?
Al Ahly nasikia Goli 1 bilaMbona unabisha mkuu sasa 😂😂😂😂
Mapema kabisa mkuu 😂😂😂😂Al Ahly nasikia Goli 1 bila
TBC 1 ya wapi?
TBC Wanaonesha, sema quality mbovu, picha mbaya. DSTV ndio wametuuza walisema wataonesha lkn hakuna kituHapa tunaelekea kupigwa changa la macho nichukue baskel na tochi niwahi center
Lipia kung'amuzi mkuu 😂😂😂😂😂Hakuna namna huwa naangalia Ile asubuhi michezo na habari za hapa na pale