Kwa wale tunaongoja TBC kuna mpira hapa kweli?

Hapa tunaelekea kupigwa changa la macho nichukue baskel na tochi niwahi center
TBC Wanaonesha, sema quality mbovu, picha mbaya. DSTV ndio wametuuza walisema wataonesha lkn hakuna kitu
 
TBC Wanaonesha, sema quality mbovu, picha mbaya. DSTV ndio wametuuza walisema wataonesha lkn hakuna kitu
Aah poleni sna ila Simba ni anapelekewa moto wa gas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…