Kwa wale tunaongoja TBC kuna mpira hapa kweli?

Tumeingoja hii game sana haiwezekani dk zikimbie hiviπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna kile kipindi cha kuwatakia Heri Watu Waliokufa sijui πŸ€’πŸ€’, yani TBC aise.
Wameonesha game vizuri kabisa wanastahili pongezi waendelee hivi kwa Kila mechi kubwa watasaidia Sasa waende hadi final na kwa mechi zingine
 
nje ya mada kidogo,nyie mnaotumia ving'amuzi vya antena hivi mnapata quality???mm nimefunga mbona naona kama hakuna quality???hebu nijuzeni maana nimejitwika king'amuzi cha azam antena
 
nje ya mada kidogo,nyie mnaotumia ving'amuzi vya antena hivi mnapata quality???mm nimefunga mbona naona kama hakuna quality???hebu nijuzeni maana nimejitwika king'amuzi cha azam antena
Hukuna quality mkuu
 
Nashukuru mkuu kwa kunisanua,maana nahangaika kumbe hamna kitu,ngoja nitafute mtu nimbwagie hiki niongezee hela nikachukue cha Dishi
Itakua poa sana mkuu...
Dish lipo stable na ni quality sana fanya hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…