Kwa wale tunaotembea na waume za watu

Ha ha ha povu la nini?
Tena nyie wakali hivi ndio huwa wazuri sana kuwafanya small house na gharama zenu huwa ni Castle light tu.

Sijui wanawake wakoje, walopnda wote huwa ni wakali kweli wakiulizwa mambo ya mahusiano hadharani hadi umuweke kona.

Naona hata hapa jf no exception trend ni ile ile.
Niliwahi fanya research wanawake waliokuwa na wapenzi zaidi ya 2 at per waote hawakusema ukweli kwenye Face to face interview, walikuja sema ukweli kwenue dodoso walizokuwa wanajaza wenyewe kwenye chumba peke yake.

Wavulana walisema hata kama anao 100, kote dodoso zake zote zilifananana.

Some women are fakest creature ever kila mtu anataka aonekane geti kali hata wa kwa mtogole

.
Kumbe na JF nayo imekuwa danguro?![/B
umalaya? Kwa hiyo kwako ni sifa kutembea na mume wa mtu kiasi unaweza kuja kujisifia hapa na kujadili as if unafanya jambo la maana saana kwa jamii yako.

Shame on you bitches!
 


Taratibu ndugu jaribu kumkumbuka Mungu.
Hapa duniani usiishi kama ndio umeshafika,kumbuka We are here for a moment.
 
duuhhh
Tafuta wakwako na we uwe free..
awe anaongea kuhusu wewe na we ujitambe.
ahhhh umeiba mali ya mtu bado walalamika ..pole mamake.
 
Kichwa cha mada unawaadress wanaotembea na waume za watu wakati ujumbe unawaambia wanaume hao!! Mh napita tu
 
Kichwa cha mada unawaadress wanaotembea na waume za watu wakati ujumbe unawaambia wanaume hao!! Mh napita tu
umeona eeeh,hawa ni vilaza,akili zao ndogo zinawafanya wakubali kutumiwa na hao vilaza wenzao
 
Kichwa cha mada unawaadress wanaotembea na waume za watu wakati ujumbe unawaambia wanaume hao!! Mh napita tu

nice observation! Nafikiri alitaka support ya OW kuwaattack wanaume. Nilitegemea gang ya kina TB, Qn, ASA, TF wangekuja naona wameogopa vita za Mazahausis! LOL
 
umeona eeeh,hawa ni vilaza,akili zao ndogo zinawafanya wakubali kutumiwa na hao vilaza wenzao

Well said esp pale VILAZA WENZAO! My issue ni kwa baadhi ya watu kuwaacha nje wanaume kwenye hii case wakati inawahu 101%, u can't rape a man u know na worse still yeye ndiye (most of the time) anafinance the cheating process na management!
 
umeona eeeh,hawa ni vilaza,akili zao ndogo zinawafanya wakubali kutumiwa na hao vilaza wenzao

Ila hujawahi kufikiria kuwa hawa vilaza wanawaTUMIA hawa vilaza wenzao (wanaume wetu)??
Labda tukofikiria kwa mtindo huu twaweza badilisha stratergy ya kuwaattack both vilazas? Just thinking!
 

Mbona hata hao ma wife zenu wanatoa sana tu tigo ni kwamba tu nyie ze husband ndio hampewi.
 

Na wewe mlazimu akutukanie mkewe!
 
ha ha ha ha, tatizo ni hao waume za watu wenyewe unaowataja ni wanaume kama mabinti ndo mana wanawala tigo. We go for real men, if u know what i mean

 
wala usijali, hawa hawa leo wanao ku-crucify utakutwa wamebanwa kwenye vikona gizani gizani, wanawake wa sinza mna mambo lakini wakiwa mbele za watu kujidai holier that Thou

hey hey hey, hold your horses brother!!! Ni mammbo ya kawaida sana hayo na yanafanyika sana
 
Hivi ww bibie, haya ndo malezi unayompa mateka wako? Sio atakata kamba sasa? Karibu supu ya utumbo wa mbuzi wa kuchoma, leo ni leo! Nyuma ndogo mtamsikia manake funguo nnazo kibindoni!
ha ha ha ha, tatizo ni hao waume za watu wenyewe unaowataja ni wanaume kama mabinti ndo mana wanawala tigo. We go for real men, if u know what i mean
 
Ha ha ha, call a spade spade, hata mie nashangaa kutwa kucha tunasifia infidelism, afu mwanamke akisema yeye ni small housi watu wote wanamsulubu? It does not make sense.
Mfumo dume umeingia hadi kwenye vichwa vya wamama.

 
Hata small hausi inamtumia kimwili, is it not a two way thing? Si ni wote wanatumiana kimwili? Au mie sielewi nini hapa?
On top small hausi anamtumia na ki-ATM.

Na mara nyingi smll hausi wanakuwa na vidumu, vibati, vibajaj na vinginevyo vingi tu.

ila nyie warembo mnafurahisha sana ,ukiona hivo jua wewe unatumiwa tu ili kutimiza tamaa zake za kimwili,ila kiroho yupo pamoja na wife wake,
Kuna mmoja yeye alikuwa analalamika mwanamme gani huyu kila siku nikiwa nae anamsifia mkewe tu...hahahaha
 
Hahahaaahaaa! Mke mwenza hapa nimecheka kwa loud spika...dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…