Kwa wale tunaotembea na waume za watu

Kwa wale tunaotembea na waume za watu

Not enough huyo anampenda wife wake kuliko wewe,
so tafta mme wa m2 mwingine kama ndio type unazopendelea,
n pm .
 
Ha ha ha, leo kaka ake ashadii simtaki, nina mateka wangu leo. Hivi unadhani ntakaa na kaka ake ashadii tu, lazima spare tyre iwepo.

siku unampgia kakake ashadii simu afu anaanza na swaga za niambie mpenzi, sema switie wangu, STUKA! Hapo ujue yupo kwa kongosho anachomewa udi...lol.
 
Tafuta wa kwako acha kuhangaika na waume za watu. Mwanamke mzima ovyo!
 
Usigune, say something, haya ndo maisha yetu
Hakuna kitu hapa. Ukiona mwanamke anahangaika na waume za watu ujue mwenyewe ana kasoro. Kwanza type yao ni wabaya yaani not beautiful. Mwanamke sura ka chungu lol. Mwanamme gani akuweke ndani kama siyo kukufanya kipozeo.
 
Is it?

Tafuta wako pengne cku atakuja kukutokea puan huyo atakuja kufia mikononi mwako ushindwe kumtoa chumbani angalia sanaaa
 
Sikujua kwamba mwizi anaweza kuweka masharti mwenye mali asitajwe. Kumbuka hata asipotajwa, mwizi utabaki kuwa mwizi tu hutakuwa na haki sawa na mwenye mali hata siku moja.

hili nalo neno!
 
Uzoefu unaonyesha mabinti wengi sana wanapenda kutembea na waume za watu, aidha sababu ya maslahi ama wakati mwengine kunakuwa na mapenzi ya kweli. Yani you happen to fall in love with somebody's husband. Mimi ni mdau pia ninae mume wa mtu.

Ila kuna kitu kimoja huwa kinauma sana wakati uko sasa na mpenzi wako (Mume wa mtu) ana anza mashauzi mara aaa

1. Jana nilienda na mama dinner
2. Mara jana nilivyokuwa home sijui wife kasema hivi
3. Mara sijui ngoja wife ananipigia
4. Mara sijui wife kasafiri

Acheni kupiga story za wake zenu kwani wakati unakuja kwangu hukujuwa kama una mke. Mkomeeeeeeeeeeeeeeeeee.

Mimi ni mwekezaji natafuta eneo la kuwekeza.
 
Umejidhalilisha vya kutosha, kweli we ni NOT ENOUGH
 
Jambo la kwanza mimi si mwanamke, tena ushike adabu yako. La pili hata kuwa kwako mwanaume sio certificate ya kufanya umalaya unless hujiamini. Mimi ni mwanaume mwenye majukumu na nikumegee siri, nilipomuoa mke wangu alikuwa mshamba kiasi chake. Lkn hiyo haikuwa kesi ya kunifanya nitoke nje ya ndoa yangu. Haiuhitaji kuwa na wapenzi wengi kudhihirisha umahiri wako ktk mapenzi, sasa sana unaonesha jinsi usivyo na uwezo wa kutengeneza badala yake unarukia kila unapoona kuna afadhali.

Kama una balehe, basi ni kipindi wazazi au walezi wako wanatakiwa wakuangalie kwa karibu kwani akili za muda huo zinakupelekea uamini uanaume wako unaonekana kwa ngono, na kwa hali ilivyo utakufa soon. Kwa kifupi, akili zako na hawa wanawake wanaojiuza hapa hazitofautiani hata kidogo.

Acha nikueleze: Huyu alieanzisha mada na wenzake wanaoishabikia, wanajiuza. Anafahamu kuna wanaume wasiojua hata kutongoza kwa hiyo wakiona kuna mwanamke mwepesi dizain yao lzm atashawishika kuwa-PM na hapo wataanza biashara ya kuuza miili yao humu. In short they are just displaying to this forum how cheap they are so that you should feel ease to approach them.

Wanaume tunaojiamini hatuambatani na cheap craps wa namna hii ya kujitangaza kuwa wanagawa. There is no manly satisfaction to make love to a prostitute, only sex pays.

Mkuu usemayo yana kaukweli fulani hapa mana biashara matangazo ati
 
Uzoefu unaonyesha mabinti wengi sana wanapenda kutembea na waume za watu, aidha sababu ya maslahi ama wakati mwengine kunakuwa na mapenzi ya kweli. Yani you happen to fall in love with somebody's husband. Mimi ni mdau pia ninae mume wa mtu.

Ila kuna kitu kimoja huwa kinauma sana wakati uko sasa na mpenzi wako (Mume wa mtu) ana anza mashauzi mara aaa

1. Jana nilienda na mama dinner
2. Mara jana nilivyokuwa home sijui wife kasema hivi
3. Mara sijui ngoja wife ananipigia
4. Mara sijui wife kasafiri

Acheni kupiga story za wake zenu kwani wakati unakuja kwangu hukujuwa kama una mke. Mkomeeeeeeeeeeeeeeeeee.

Hahahahahaa.....
 
Back
Top Bottom