Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Am over that fear love, I stand for who I am, a saint or devil
Coz at the end of the day it is what it is
Tatizo la wanawake ni kujirudisha nyuma na kupenda kumpendezesha sijui nani?
Thanks to those who raised me, I was taught to do what I believe in, mi si ndo Ferguson, ya nini nihangaike nimpange nani? Nampanga nayemtaka kwa wakati huo kwa matokeo nayoyataka, nikikwama mchezo dk 90, kuna kushinda, kushindwa na droo.
Usituone tunajisifu, we are saints because we are married lakini kuna haya:-
1. Alimpata Bwana kwa kwenda kwa mganga
2. Alivyoollewa kamwendea bwana kwa mganga
3. Kabla ya kuolewa alikuwa small hausi wa mtu
4. Kaolewa lakini ni small hausi wa another married barchelor
5. Kaolewa lakini ni kimada/whatever house wa any single guy tena ukute serengeti
6. Aliolewa wakidhani mwali kumbe kishaporomoa mimba kadhaa kuogopa jamii isimtenge kwa kuzaa before marriage kwa cost ya maisha ya innocent child
7. Kaolewa analiwa tigo mtaani, for curiosity ongea na manesi wa labour wanavyowasondeka shuka huko back wake za watu, na am sure si waume zao walowaharibu
Being married you are not as saints as you try to show up here.
Na kila mtu can fly to her limit, NE limits ina-exceed kuchukua mmme wa mtu lakini kuna mwingine fly limit yake inazidi kutoa mimba or yeyote kati ya nilizotaja hapo juu.
So judge when you are sure, am what I am
Jinsia ni Jinsi tu, may be am 2 in 1

Ingawa naamini kabisa kuna wanawake walio na ndoa wanaocheat na hata wengine single wanatembea na waume za watu, bado siamini kama Kongosho ni mwanamke. Naungana na nyumba ndogo, Kongosho ni mwanaume. Kaona NE anashambuliwa sana akaamua kuinunua kesi. Wanawake tumeumbwa na aibu fulani, hivyo Bishanga wenzetu wanaofanya matendo hayo kukiri inakuwa shida. Kama ambavyo Kongosho kasema kwenye research yake hapo juu. Kidogo naamini NE kuwa ni mwanamke kwani baada ya kusakamwa aibu ya kike ikamjia na akaamua kuingia mitini. Hivyo Bishanga usijipongeze kwa kusema idadi ya wanawake wanaokiri uzinzi inaongezeka, wengine tuna wasiwasi siyo wanawake. Wameamua kutudhalilisha tu kwa kutumia opportunity ya IDs zao ambazo hazionyeshi jinsia yake.