Kwa wale tunaotembea na waume za watu

Kwa wale tunaotembea na waume za watu

Am over that fear love, I stand for who I am, a saint or devil
Coz at the end of the day it is what it is
Tatizo la wanawake ni kujirudisha nyuma na kupenda kumpendezesha sijui nani?

Thanks to those who raised me, I was taught to do what I believe in, mi si ndo Ferguson, ya nini nihangaike nimpange nani? Nampanga nayemtaka kwa wakati huo kwa matokeo nayoyataka, nikikwama mchezo dk 90, kuna kushinda, kushindwa na droo.

Usituone tunajisifu, we are saints because we are married lakini kuna haya:-
1. Alimpata Bwana kwa kwenda kwa mganga
2. Alivyoollewa kamwendea bwana kwa mganga
3. Kabla ya kuolewa alikuwa small hausi wa mtu
4. Kaolewa lakini ni small hausi wa another married barchelor
5. Kaolewa lakini ni kimada/whatever house wa any single guy tena ukute serengeti
6. Aliolewa wakidhani mwali kumbe kishaporomoa mimba kadhaa kuogopa jamii isimtenge kwa kuzaa before marriage kwa cost ya maisha ya innocent child
7. Kaolewa analiwa tigo mtaani, for curiosity ongea na manesi wa labour wanavyowasondeka shuka huko back wake za watu, na am sure si waume zao walowaharibu

Being married you are not as saints as you try to show up here.
Na kila mtu can fly to her limit, NE limits ina-exceed kuchukua mmme wa mtu lakini kuna mwingine fly limit yake inazidi kutoa mimba or yeyote kati ya nilizotaja hapo juu.

So judge when you are sure, am what I am

Jinsia ni Jinsi tu, may be am 2 in 1

Ingawa naamini kabisa kuna wanawake walio na ndoa wanaocheat na hata wengine single wanatembea na waume za watu, bado siamini kama Kongosho ni mwanamke. Naungana na nyumba ndogo, Kongosho ni mwanaume. Kaona NE anashambuliwa sana akaamua kuinunua kesi. Wanawake tumeumbwa na aibu fulani, hivyo Bishanga wenzetu wanaofanya matendo hayo kukiri inakuwa shida. Kama ambavyo Kongosho kasema kwenye research yake hapo juu. Kidogo naamini NE kuwa ni mwanamke kwani baada ya kusakamwa aibu ya kike ikamjia na akaamua kuingia mitini. Hivyo Bishanga usijipongeze kwa kusema idadi ya wanawake wanaokiri uzinzi inaongezeka, wengine tuna wasiwasi siyo wanawake. Wameamua kutudhalilisha tu kwa kutumia opportunity ya IDs zao ambazo hazionyeshi jinsia yake.
 
Hivi ww dada hujaona vijana wenzako mpaka umchukue mume wa mtu? Nilishakwambia utakuja kukojoa dagaa siku moja we endelea tu.
 
Nimesoma posts zote natafuta maoni ya Da Sophy tu lakini sijaona, maana nimeshamkariri kuwa yeye ndiye 'nyumba ndogo' mzoefu aliyepinda, kumbe wapo wengi sana wa hivyo. Kiukweli nimezidi kukwazika na hii thread, imenizidi kuthibitisha imani yangu kuwa kuoa ni jambo baya sana. Na hivi ninavyokomaa na ndomu ni wazi suala la uzazi ndo hakuna kabsaaaa! Nangoja wataalamu mabingwa wa afya watuletee ule uzazi wa vinasaba, ile nasikia mtu unaotesha mbegu yako kama muwa tu mtoto anapatikana bila mwanamke. Duh!
 
Mimi nshashtuka siku nyingi; ukiona uzi wa kusifia vimada na tigo jua hao ni wanaume wanajifanya wanawake ili kupumbaza wanawake waone ni kitu cha ufahari kugeuzwa kimada. Wameona mawindo yamekuwa magumu wameamua ku preach ili kupata wateja. Kuna uzi nilisoma Dinaicious nilichoka; eti mke wa mtu anajisifu anavyotoa tigo. Waongo hawa ni wanaume na fake IDs.

Ingawa naamini kabisa kuna wanawake walio na ndoa wanaocheat na hata wengine single wanatembea na waume za watu, bado siamini kama Kongosho ni mwanamke. Naungana na nyumba ndogo, Kongosho ni mwanaume. Kaona NE anashambuliwa sana akaamua kuinunua kesi. Wanawake tumeumbwa na aibu fulani, hivyo Bishanga wenzetu wanaofanya matendo hayo kukiri inakuwa shida. Kama ambavyo Kongosho kasema kwenye research yake hapo juu. Kidogo naamini NE kuwa ni mwanamke kwani baada ya kusakamwa aibu ya kike ikamjia na akaamua kuingia mitini. Hivyo Bishanga usijipongeze kwa kusema idadi ya wanawake wanaokiri uzinzi inaongezeka, wengine tuna wasiwasi siyo wanawake. Wameamua kutudhalilisha tu kwa kutumia opportunity ya IDs zao ambazo hazionyeshi jinsia yake.
 
Ukija hapa na kubeba yote, jiite kichwa panzi.
Kwenye Abstract math wanasema 1+1=0 under Z module 1
Ni kujiconvince utaelewa

Nimesoma posts zote natafuta maoni ya Da Sophy tu lakini sijaona, maana nimeshamkariri kuwa yeye ndiye 'nyumba ndogo' mzoefu aliyepinda, kumbe wapo wengi sana wa hivyo. Kiukweli nimezidi kukwazika na hii thread, imenizidi kuthibitisha imani yangu kuwa kuoa ni jambo baya sana. Na hivi ninavyokomaa na ndomu ni wazi suala la uzazi ndo hakuna kabsaaaa! Nangoja wataalamu mabingwa wa afya watuletee ule uzazi wa vinasaba, ile nasikia mtu unaotesha mbegu yako kama muwa tu mtoto anapatikana bila mwanamke. Duh!
 
Jamani kwa nini tunapoteza muda mrefu na ennergy nyingi KUWAONYA WANAOTEMBEA NA WAKE/WAUME ZA WATU? Mbona madhara yake yanajulikana?

Mimi naona sasa tumeshawaeleza hadi tumechoka. Please let them face the consequences. We should reserve our time and energy into more productive activities/thinking than kila siku wake/waume za watu.

Wewe unayetembea na mke/mume wa mtu si mjanja, SUBIRI AROBAINI YAKO
 
Uzoefu unaonyesha mabinti wengi sana wanapenda kutembea na waume za watu, aidha sababu ya maslahi ama wakati mwengine kunakuwa na mapenzi ya kweli. Yani you happen to fall in love with somebody's husband. Mimi ni mdau pia ninae mume wa mtu.

Ila kuna kitu kimoja huwa kinauma sana wakati uko sasa na mpenzi wako (Mume wa mtu) ana anza mashauzi mara aaa

1. Jana nilienda na mama dinner
2. Mara jana nilivyokuwa home sijui wife kasema hivi
3. Mara sijui ngoja wife ananipigia
4. Mara sijui wife kasafiri

Acheni kupiga story za wake zenu kwani wakati unakuja kwangu hukujuwa kama una mke. Mkomeeeeeeeeeeeeeeeeee.

na nyie komeni kudunguliwa na waume wa watu.
Kwani alipokuwa anakutongoza aliificha pete yake ya ndoa?
 
Ingawa naamini kabisa kuna wanawake walio na ndoa wanaocheat na hata wengine single wanatembea na waume za watu, bado siamini kama Kongosho ni mwanamke. Naungana na nyumba ndogo, Kongosho ni mwanaume. Kaona NE anashambuliwa sana akaamua kuinunua kesi. Wanawake tumeumbwa na aibu fulani, hivyo Bishanga wenzetu wanaofanya matendo hayo kukiri inakuwa shida. Kama ambavyo Kongosho kasema kwenye research yake hapo juu. Kidogo naamini NE kuwa ni mwanamke kwani baada ya kusakamwa aibu ya kike ikamjia na akaamua kuingia mitini. Hivyo Bishanga usijipongeze kwa kusema idadi ya wanawake wanaokiri uzinzi inaongezeka, wengine tuna wasiwasi siyo wanawake. Wameamua kutudhalilisha tu kwa kutumia opportunity ya IDs zao ambazo hazionyeshi jinsia yake.
kwa lugha nyingine kinamama wengi tu wanayafanya haya ila ni top secret,au?
 
Jamani kwa nini tunapotez amuda mrefu na ennergy nyingi KUWAONYA WANAOTEMBEA NA WAKE/WAUME ZA WATU? Mbona madhara yake yanajulikana?

Mimi naona sasa tumeshawaeleza hadi tumechoka. Please let them face the consequences. We should reserve our time and energy into more productive activities/thibnking than kila siku wake/waume za watu.

Wewe unayetembea na mke/mume wa mtu si mjanja, SUBIRI AROBAINI YAKO
taratibu mama,shusha presha,hata Adam uzalendo ulimshinda itakuwa Bishanga?
 
yani point za muhimu sana mambo ya mkeo hukohuko mimi yananihusu nini kula mziko chapa lapa
 
Mtu B utajibeba, hii ndio jf bwana

Nimesoma posts zote natafuta maoni ya Da Sophy tu lakini sijaona, maana nimeshamkariri kuwa yeye ndiye 'nyumba ndogo' mzoefu aliyepinda, kumbe wapo wengi sana wa hivyo. Kiukweli nimezidi kukwazika na hii thread, imenizidi kuthibitisha imani yangu kuwa kuoa ni jambo baya sana. Na hivi ninavyokomaa na ndomu ni wazi suala la uzazi ndo hakuna kabsaaaa! Nangoja wataalamu mabingwa wa afya watuletee ule uzazi wa vinasaba, ile nasikia mtu unaotesha mbegu yako kama muwa tu mtoto anapatikana bila mwanamke. Duh!
 
Kwani yeye wakati anakuja kutongoza hakujua kama ni mume wa mtu? Nie wanaume ndo mnaendekeza nyumba ndogo, hebu tulieni na wake zenu nyumbani muone kama nyumba ndogo zitawafuata huko kwenye ndoa zenu

na nyie komeni kudunguliwa na waume wa watu.
Kwani alipokuwa anakutongoza aliificha pete yake ya ndoa?
 
Not enough kumbe wataka kulipwa
ni
PM mimi tuongee biashara
 
Back
Top Bottom