Kwa wale tusiokuwa na makaratasi ya kukaa hapa state tupeane mbinu za kukwepa mass deporting ya huyu mzee Trump

Kwa wale tusiokuwa na makaratasi ya kukaa hapa state tupeane mbinu za kukwepa mass deporting ya huyu mzee Trump

Harakati za mtu mweusi zinaendelea

Lazima tukubali bepari Trump ameshinda uchaguzi na wazungu wamepiga kura za hasira kwa mzungu wao Biden kukatazwa na kina Obama asigombee

Wazungu walikasirika Sana hata wasiokuwa na mpango wa kupiga kura wakajitokeza

Sasa tunaoishi hapa bila makaratasi tupeane mbinu za kukwepa mkono wa sheria

Je Ni county gani salama kiasi hatitafikiwa na mkono wa sheria?

Naona homa ya kusombwa itaanzia new York maama hapo ndio watu mamejazana wasiokuwa na karatasi

Kuna wapopo huwa wanachambisha wabibi wao wameamua kutelekeza geto lao wanaishi uko uko kwenye camp hawatoki ndani mpaka upepo utulie

Sehemu salama za kwenda Ni kule mashambani sema kule mizee ya kilatino Ni km imevurugwa ikiona ngozi nyeusi Ni km imeona swala muda wote unatandikw risasi

Mimi kusema kweli najiandaa kisaikolojia nataka nizamie visiwa ya carribean km Barbados nikawe mvuvi wa samaki kulko kurudishwa kule Africa ushenzini😀

Wenzetu wahamiaji kutoka ulaya na wahindi hata wahastuki

Ila sisi ngozi ya goti na ndugu zetu waarabu ndio hakukaliki

We mzee bepari mimi sirud Africa bora nizamie dege la kwenda Brazil nikazekee kule ila Africa no

Acha ufala wewe, unaishi kama digidigi.

Rudi nyumbani uku maisha ni Kama mbinguni.
 
Back
Top Bottom