Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
Fungua www.necta.go.tz kuyaona!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wamefeli yani Ilboru hakuna one ya tatu wala nne?
T.o ni nani mwaka huu?
Hashim JK Kikwete,wa feza boys amesoma PCMT.o ni nani mwaka huu?
Fungua www.necta.go.tz kuyaona!
we mkare...!Hashim JK Kikwete,wa feza boys amesoma PCM
usiwadanganye wenzio,its n0t fair,kama huna cha kusema,tuliza kichwa
siku hizi watoto wengi walio perform vizuri form iv hawaendi kwenye hizi special schools za serikali...wengi wao utawasikia wapo marian,st joseph,feza etc tofauti na zamani walipokuwa wanajazana wote kwenye hizo special schools za serikali...ukiangalia na ubovu wa elimu(walimu/vifaa etc) katika shule za serikali na ubora wa hali ya juu kwenye hizi shule za private zinazofanya vizuri ndiyo utaona kwanini special schools za serikali zimegeuka kuwa shule nzuri za kawaida za serikali...!Ilboru hakuna aliyefeli hata mmoja. Lakini nadhani kwa maisha ya kielimu leo hii hakuna tofauti kati ya spesho schools na zile za kawaida. Kuna haja ya kuwa na plan B AU MFUMO MBADALA WA ELIMU TULIYO NAYO LEO HII. kWA KUANZIA NI KUBORESHA SEKTA YA UALIMU KWA KUWABORESHEA MASLAHI YAO IKIWA NI PAMOJA NA MAKAZI NA VITENDEA KAZI. HAIWEZEKANI MWALIMU AKAWA ANASAFIRI KILA MWISHO WA MWEZI KUFUATILIA MSHAHARA WAKE AKIWAACHA WANAFUNZI DARASANI HALAFU TUTEGEMEE WANAFUNZA WAFANYE VYEMA KATIKA MITIHANI YAO.
usiwadanganye wenzio,its n0t fair,kama huna cha kusema,tuliza kichwa
Dah! Vijana naona miaka hii wanakuwa wazembe sana. Wanashindwa kuiendeleza heshima ya shule yetu tulioiwekaWatoto wamefeli yani Ilboru hakuna one ya tatu wala nne?