Kwa wale wa Kidato cha 6 mwaka 2012,matokeo hayooo!!!

Kwa wale wa Kidato cha 6 mwaka 2012,matokeo hayooo!!!

Watoto wamefeli yani Ilboru hakuna one ya tatu wala nne?

Ilboru hakuna aliyefeli hata mmoja. Lakini nadhani kwa maisha ya kielimu leo hii hakuna tofauti kati ya spesho schools na zile za kawaida. Kuna haja ya kuwa na plan B AU MFUMO MBADALA WA ELIMU TULIYO NAYO LEO HII. kWA KUANZIA NI KUBORESHA SEKTA YA UALIMU KWA KUWABORESHEA MASLAHI YAO IKIWA NI PAMOJA NA MAKAZI NA VITENDEA KAZI. HAIWEZEKANI MWALIMU AKAWA ANASAFIRI KILA MWISHO WA MWEZI KUFUATILIA MSHAHARA WAKE AKIWAACHA WANAFUNZI DARASANI HALAFU TUTEGEMEE WANAFUNZA WAFANYE VYEMA KATIKA MITIHANI YAO.
 
Hawa madogo fb itawamaliza.check walivo haribu.
 
siku hizi watoto wengi walio perform vizuri form iv hawaendi kwenye hizi special schools za serikali...wengi wao utawasikia wapo marian,st joseph,feza etc tofauti na zamani walipokuwa wanajazana wote kwenye hizo special schools za serikali...ukiangalia na ubovu wa elimu(walimu/vifaa etc) katika shule za serikali na ubora wa hali ya juu kwenye hizi shule za private zinazofanya vizuri ndiyo utaona kwanini special schools za serikali zimegeuka kuwa shule nzuri za kawaida za serikali...!
 
usiwadanganye wenzio,its n0t fair,kama huna cha kusema,tuliza kichwa

Bajabiri kama wewe haupo updated ndo unyamaze. Sasa hapo nimedanganya nini? Fungua www.necta.go.tz kama hayapo! Pengine wewe ndo unamatatizo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom