Maskini sindanoMasingano alikuwa na mtoto mmoja tu aliyeitwa Singano. Singano alikwenda kusoma Ulaya wakati huo Sesingano alishatangulia mbele za haki.
Singano alipata barua ya ugonjwa wa mama yake. Aliwahi kurudi nyumbani lakini alipofika alikuta mgonjwa alishafariki na kuzikwa. Singano alikwenda kaburini na kuanza kulia
“ Manedle uzanibada ikedu Manedle”.
Maskini sindano
Masingano alikuwa na mtoto mmoja tu aliyeitwa Singano. Singano alikwenda kusoma Ulaya wakati huo Sesingano alishatangulia mbele za haki.
Singano alipata barua ya ugonjwa wa mama yake. Aliwahi kurudi nyumbani lakini alipofika alikuta mgonjwa alishafariki na kuzikwa. Singano alikwenda kaburini na kuanza kulia
“ Manedle uzanibada ikedu Manedle”
“Oh my mother Manedle”..
Hapa ndipo nilipojiona mimi sio wa "Pande zile" 🤕Oh my mother Manedle”..
HahahahahaaHahahahah uyo mntu azauya ulaya hakunda kumuitanga nine "masingano" amuitanga "Manidle"...laahaulaa haihai mosie singano!!!
Nanenanenaneeee!! 😂😂Hahahahahaa