Kwa wale wa pande zile

Kwa wale wa pande zile

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Masingano alikuwa na mtoto mmoja tu aliyeitwa Singano. Singano alikwenda kusoma Ulaya wakati huo Sesingano alishatangulia mbele za haki.

Singano alipata barua ya ugonjwa wa mama yake. Aliwahi kurudi nyumbani lakini alipofika alikuta mgonjwa alishafariki na kuzikwa. Singano alikwenda kaburini na kuanza kulia

“ Manedle uzanibada ikedu Manedle”
“Oh my mother Manedle”..
 
“ Manedle uzanibada ikedu Manedle”.
Maskini sindano
 
Heee... imejiposti au kwa kuwa mimi sijanywa chai ndo sijaelewa
 
Masingano alikuwa na mtoto mmoja tu aliyeitwa Singano. Singano alikwenda kusoma Ulaya wakati huo Sesingano alishatangulia mbele za haki.

Singano alipata barua ya ugonjwa wa mama yake. Aliwahi kurudi nyumbani lakini alipofika alikuta mgonjwa alishafariki na kuzikwa. Singano alikwenda kaburini na kuanza kulia

“ Manedle uzanibada ikedu Manedle”
“Oh my mother Manedle”..

Hicho ni kimarangu?
 
mtoa mada vp mbona unanitukana.? tafsiri ya hayo maneno tafadhali kbl cjakuvutia ganja.
 
Singano mwenyewe ndo huyo baba yake na ramadhan singano "Messi" wa azam fc?
 
"Kwa wale wa pande zile"

hasa ww kama sio wa pande zile utaishia ku like kwa mazoea na huambulii chochote ....., labda uwe wa pande hizi
 
Back
Top Bottom