Kwa wale wa UDSM

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Tarehe 28 mwezi huu mgodi wa pale aris utatema,then tarehe 23 september mechi za ufunguzi zitachezwa pale chuo,pia form one nao watatakiwa kureport chuo tarehe hiyo..over
 
ARIS ndo nini..??
 
ARIS ndo nini..??

ndio maana nkasema kwa wale wa udsm,kama hufahamu aris ni nin,inamaanisha wewe sio wa udsm,kwa hiyo kaa mbali kabisa na hii thread kwa sababu haikuhusu.over
 
Najuwacho Kazi mojawapo ya JF ni kuwajuza vitu mbalimbali wale wasiofahamu.. Hiyo ARIS kama ni SI unit ya kitu fulani ingefahamika na wote... Kwa kila mtu anfahamu maana ya mtu akisema 10Kg, au 5mm, au Tsh, USD. Kwa kitu ambacho si popular, inawezekana kabisa wengine wasifahamu. Hivyo ni juu ya wewe unayefahamu, kuwafahamisha wasiofahamu.. BY THE WAY KUKAA KARIBU NA MAHAKAMA SI KUJUWA SHERIA... HALAFU HAPO UDSM MI NILIMALIZA MUDA MREFU ULIOPITA, HIYO ARIS SIKUWAHI KUISIKIA ...
 
Pole mkuu,
ARIS is just an information system kwa UDSM.
Open university wanaiita SARIS, vyuo vingine pia zipo kwa majina mbali mbali
so usiwe na shaka, sio kitu muhimu kwa kila mtu ni for them students wa UDSM.
ASANTE.

Nashukuru mkuu, maana naamini kila mtu humu ndani anacho anachokifahamu, sasa kama mwingine anauliza kwa minajili ya kufahamu, basi inapendeza kwa anayefahamu kujibu kama ulivyofanya... THANKS, NGOJA NIACHANE NA HUYU MACHI NOOO.....
 
well said mkuu co m2 anajitamba utadhani nyy alikuwa anaijua b4 hajaenda hapo udsm. bt co inshu na cjui km angekuwa anasoma uct angetambaje? nadhani huyo ni mmoja wa wanafunzi wa IRA

ooops!!.shato poli ilinchelewesha kwny remot sensetv.Apa majanga hi coz hatari.Aris tena matokeo yny kheerrr
 
Perry ni LIMBUKEN WA CHUO CHA UDSM nahc kabahatisha kuxoma hapo anajiona mjanja kumbe f*ken 2.tena kama ckosei atakuwa 2yr. Jfunze kujbu wa2 vzr. Wa2 wanaheshima zao hapa co fb.
 
Hili jukwaa mbona libanoteza hadhi yake wakuu ..
Yaani ni mipasho matusi maneno yasiyo na maadili au mods huku hamna?!inakua kama taarabu!! Acha niende zang jukwaa la technology....
 
Perry ni LIMBUKEN WA CHUO CHA UDSM nahc kabahatisha kuxoma hapo anajiona mjanja kumbe f*ken 2.tena kama ckosei atakuwa 2yr. Jfunze kujbu wa2 vzr. Wa2 wanaheshima zao hapa co fb.
Mkuu uko sahihi, huyo jamaa ni limbukeni sana,yeye kusoma UDSM,anaona wengine hawajasoma kabisa.
 
ofcourse,hapa tz kama hujasoma kwenye moja kati hvi vyuo vitatu udsm,sua na muhimbili.huwezi nawe kujiita eti umesoma chuo,elewa tu kuwa ulikua unapoteza muda wako.over
 
kuna wale waliosoma hapo miaka ya 70, usitegemee ataijuwa hiyo ARIS, unless otherwise kuwe na namna ningine itakayomfanya aijuwe eg kuuliza etc. Hata October 6th, 1996 wakati naripoti UDSM PALE FoE, hiyo sikuwahi huisikia mpaka namaliza 2000.

Hata wale wana UDSM wa kwanza hawaijui hiyo ARIS. Sasa badala ya kutamka yasiyo na tija, we ungejibu swali na thread hii, nina uhakika isingepoteza uelekeo kwa kiasi hiki. Wengi sana wametoka nje ya ulichokusudia wakati unaianzisha simply because hukujibu swali as expected.

TUNAYOYAANDIKA HAPA JF, YANAWEZA YAKASEMA TABIA ZETU HALISI
 
So my buoy! Unamaanisha kuwa form one wana anza chuo sept . N so january kama inavyo julikana! Duuuh!
 
Kwa hiyo waliosoma UDSM, SUA na MHIMBILI ndo wanaandikaga na kujibu pumba kama zako? Kwel we ni zigo la matapishi. Ulimbuken unakusumbua na unafanya wale wengine waliosoma hapo waonekane hawafai. Mkienda kazin mnabaki kujisifu kuhusu vyuo wakati utendaji ni sifuri.
 
ofcourse,hapa tz kama hujasoma kwenye moja kati hvi vyuo vitatu udsm,sua na muhimbili.huwezi nawe kujiita eti umesoma chuo,elewa tu kuwa ulikua unapoteza muda wako.over

Ushamba unakusumbua tu,ni kweli sikusoma hivyo vyuo ulivyovitaja lakini niko mbali mno.Maliza chuo,halafu ndiyo utajua kama ulimbukeni utakusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…