Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ARIS ndo nini..??Tarehe 28 mwezi huu mgodi wa pale aris utatema,then tarehe 23 september mechi za ufunguzi zitachezwa pale chuo,pia form one nao watatakiwa kureport chuo tarehe hiyo..over
Najuwacho Kazi mojawapo ya JF ni kuwajuza vitu mbalimbali wale wasiofahamu.. Hiyo ARIS kama ni SI unit ya kitu fulani ingefahamika na wote... Kwa kila mtu anfahamu maana ya mtu akisema 10Kg, au 5mm, au Tsh, USD. Kwa kitu ambacho si popular, inawezekana kabisa wengine wasifahamu. Hivyo ni juu ya wewe unayefahamu, kuwafahamisha wasiofahamu.. BY THE WAY KUKAA KARIBU NA MAHAKAMA SI KUJUWA SHERIA... HALAFU HAPO UDSM MI NILIMALIZA MUDA MREFU ULIOPITA, HIYO ARIS SIKUWAHI KUISIKIA ...ndio maana nkasema kwa wale wa udsm,kama hufahamu aris ni nin,inamaanisha wewe sio wa udsm,kwa hiyo kaa mbali kabisa na hii thread kwa sababu haikuhusu.over
Najuwacho Kazi mojawapo ya JF ni kuwajuza vitu mbalimbali wale wasiofahamu.. Hiyo ARIS kama ni SI unit ya kitu fulani ingefahamika na wote... Kwa kila mtu anfahamu maana ya mtu akisema 10Kg, au 5mm, au Tsh, USD. Kwa kitu ambacho si popular, inawezekana kabisa wengine wasifahamu. Hivyo ni juu ya wewe unayefahamu, kuwafahamisha wasiofahamu.. BY THE WAY KUKAA KARIBU NA MAHAKAMA SI KUJUWA SHERIA... HALAFU HAPO UDSM MI NILIMALIZA MUDA MREFU ULIOPITA, HIYO ARIS SIKUWAHI KUISIKIA ...
Nashukuru mkuu, maana naamini kila mtu humu ndani anacho anachokifahamu, sasa kama mwingine anauliza kwa minajili ya kufahamu, basi inapendeza kwa anayefahamu kujibu kama ulivyofanya... THANKS, NGOJA NIACHANE NA HUYU MACHI NOOO.....Pole mkuu,
ARIS is just an information system kwa UDSM.
Open university wanaiita SARIS, vyuo vingine pia zipo kwa majina mbali mbali
so usiwe na shaka, sio kitu muhimu kwa kila mtu ni for them students wa UDSM.
ASANTE.
Nashukuru mkuu, maana naamini kila mtu humu ndani anacho anachokifahamu, sasa kama mwingine anauliza kwa minajili ya kufahamu, basi inapendeza kwa anayefahamu kujibu kama ulivyofanya... THANKS, NGOJA NIACHANE NA HUYU MACHI NOOO.....
CC: Perrywell said mkuu co m2 anajitamba utadhani nyy alikuwa anaijua b4 hajaenda hapo udsm. bt co inshu na cjui km angekuwa anasoma uct angetambaje? nadhani huyo ni mmoja wa wanafunzi wa IRA
Nashukuru mkuu, maana naamini kila mtu humu ndani anacho anachokifahamu, sasa kama mwingine anauliza kwa minajili ya kufahamu, basi inapendeza kwa anayefahamu kujibu kama ulivyofanya... THANKS, NGOJA NIACHANE NA HUYU MACHI NOOO.....
ARIS ndo nini..??
Mkuu uko sahihi, huyo jamaa ni limbukeni sana,yeye kusoma UDSM,anaona wengine hawajasoma kabisa.Perry ni LIMBUKEN WA CHUO CHA UDSM nahc kabahatisha kuxoma hapo anajiona mjanja kumbe f*ken 2.tena kama ckosei atakuwa 2yr. Jfunze kujbu wa2 vzr. Wa2 wanaheshima zao hapa co fb.
Mkuu uko sahihi, huyo jamaa ni limbukeni sana,yeye kusoma UDSM,anaona wengine hawajasoma kabisa.
kuna wale waliosoma hapo miaka ya 70, usitegemee ataijuwa hiyo ARIS, unless otherwise kuwe na namna ningine itakayomfanya aijuwe eg kuuliza etc. Hata October 6th, 1996 wakati naripoti UDSM PALE FoE, hiyo sikuwahi huisikia mpaka namaliza 2000.ofcourse,hapa tz kama hujasoma kwenye moja kati hvi vyuo vitatu udsm,sua na muhimbili.huwezi nawe kujiita eti umesoma chuo,elewa tu kuwa ulikua unapoteza muda wako.over
ofcourse,hapa tz kama hujasoma kwenye moja kati hvi vyuo vitatu udsm,sua na muhimbili.huwezi nawe kujiita eti umesoma chuo,elewa tu kuwa ulikua unapoteza muda wako.over