well said mkuu co m2 anajitamba utadhani nyy alikuwa anaijua b4 hajaenda hapo udsm. bt co inshu na cjui km angekuwa anasoma uct angetambaje? nadhani huyo ni mmoja wa wanafunzi wa IRA
Tarehe 28 mwezi huu mgodi wa pale aris utatema,then tarehe 23 september mechi za ufunguzi zitachezwa pale chuo,pia form one nao watatakiwa kureport chuo tarehe hiyo..over
nyie mnafanana kuanzia majina, avatar, uandishi. All in all ni utoto unawasumbua kwa sasa, mtakua tuSo my buoy! Unamaanisha kuwa form one wana anza chuo sept . N so january kama inavyo julikana! Duuuh!
kuna wale waliosoma hapo miaka ya 70, usitegemee ataijuwa hiyo ARIS, unless otherwise kuwe na namna ningine itakayomfanya aijuwe eg kuuliza etc. Hata October 6th, 1996 wakati naripoti UDSM PALE FoE, hiyo sikuwahi huisikia mpaka namaliza 2000.
Hata wale wana UDSM wa kwanza hawaijui hiyo ARIS. Sasa badala ya kutamka yasiyo na tija, we ungejibu swali na thread hii, nina uhakika isingepoteza uelekeo kwa kiasi hiki. Wengi sana wametoka nje ya ulichokusudia wakati unaianzisha simply because hukujibu swali as expected.
TUNAYOYAANDIKA HAPA JF, YANAWEZA YAKASEMA TABIA ZETU HALISI
Ushaambiwa kwa wale wa UDSM we kama vyuo vya kata tuliza boli.......ARIS ndo nini..??
ofcourse,hapa tz kama hujasoma kwenye moja kati hvi vyuo vitatu udsm,sua na muhimbili.huwezi nawe kujiita eti umesoma chuo,elewa tu kuwa ulikua unapoteza muda wako.over
Wew niny! Mbona unajifanya unajua sana kusema wenzako! Mtu anatoa info, wew unajifanya kukosoa! Kama hayakuhusu! Usichangie! Take yo tym! Waachie zinazo tuhusu!
ARIS ndo nini..??
Kama hii mada haikuhusu! Jus so lazma uchangie! Kuna mada kibaoooo! So, u better take yo shit out dhere!.
ofcourse,hapa tz kama hujasoma kwenye moja kati hvi vyuo vitatu udsm,sua na muhimbili.huwezi nawe kujiita eti umesoma chuo,elewa tu kuwa ulikua unapoteza muda wako.over
ndio maana nkasema kwa wale wa udsm,kama hufahamu aris ni nin,inamaanisha wewe sio wa udsm,kwa hiyo kaa mbali kabisa na hii thread kwa sababu haikuhusu.over
ofcourse,hapa tz kama hujasoma kwenye moja kati hvi vyuo vitatu udsm,sua na muhimbili.huwezi nawe kujiita eti umesoma chuo,elewa tu kuwa ulikua unapoteza muda wako.over
samahani,naomba kukuulza,na wewe ni mmoja kati ya wale vichaa mnaotafutwa na walinzi wa pale mirembe?maana kama ungekua unajua kusoma,usingefungua hii thread kwa sababu haikuhusu!