MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Hahaahahahahaha!!!!!Huyu si amerudisha namba juzi juzi tu. Sikuwahi kupenda muziko wake nilikuwa namuona gay flani
Exactly.... Im international knownUnaizungumzia "classic" mkuu, rapa kanye west alikutana na ma-emcee kwenye hii track wakamfanyia humiliation
Afrika bambataa was not a hiphop duo and he is not.... huyu ni producer na disc jockey...Umenikumbusha kuna group ilikuwa inaitwa Afrika Bambataa. Ni hatari.
Fukc Mr. President yo doesn't present gheto resident.. moja ya freestyle zake walikuwa wana battle na Wu.You are all I need
Method Man feat Mary J Blige.
Greatest hip hop love song ever!
It won a Grammy, btw.
Kwa wakati huo ndio wajanja...
oldschool... were contemplative in terms of writing their rhymes and looking to make their music as effective as possible, as they looked.
Ila mlikuwa washamba... sasa mfano hizo pigo za Yo Yo na Mc lyte ndiyo nini sasa [emoji23] [emoji23] .
Cc Asprin
Daah...Kwa wakati huo ndio wajanja...
Hi ndio ilikua track yangu ya kwanza kuimaster yote kichwani.Nashangaa hamkumbuki Mzee mwenyewe Coolio...
"Gangaster's of paradise"
...Power in the money money in the power...
Mimi ilikuwa marley marl hip hop lives and KRS-one.Hi ndio ilikua track yangu ya kwanza kuimaster yote kichwani.
Usiisahau na I'll C U When U Get There
Hahaha...You are all I need
Method Man feat Mary J Blige.
Greatest hip hop love song ever!
It won a Grammy, btw.
Nashangaa KRS-One hakuwahi kushinda tuzo,WTF?Mimi ilikuwa marley marl hip hop lives and KRS-one.
Moja ya vichwa vilivyokuwa kwenye The five furious.
alikuja kuchukua baadae BET lakini nafikiri as a legend.Nashangaa KRS-One hakuwahi kushinda tuzo,WTF?
Huyu jamaa anajua,sio freestyle,uandishi mpaka punchline.
Napenda Sana ile ngoma aliyodondoka juu ya mdundo wa DJ Premier... MC's act like they don't know.
If you don't know me by now I doubt you'll ever know me
I never won a Grammy, I won't win a Tony
But I'm not the only MC keepin' it real
When I grab the mic to smash a rapper, girls go, "Ill"
Check the time as I rhyme, it's 1995
Whenever I arrive the party gets liver
Flow with the master rhymer, as I leave behind
The video rapper, you know, the chart climber
Clapper, down goes another rapper
Onto another matter, punch up the data, Blastmaster
Knowledge Reigns Supreme Over Nearly Everybody
Call up KRS, I'm guaranteed to rip a party
Hahaha... Nilipenda alipoichambua KRS-One kwamba ni Knowledge Reigns Supreme Over Nearly Everybody
Nonchalant.... 5 oclock in the morning... Moja ya nyimbo zangu bora wakati wote jinsi demi anavyoflow... Beat ya wimbo.... Ukichukulia pia nlipigwa kabali moja mbaya sana alfajir moja hv mitaa ya wailes temeke natokea zangu club imasco....Moja kati ya ngoma nilizokuwa nazikubali
1. Too close - Next
2. I wanna be your only one - intenal
2. It a parts- Busta Rhymes
3. Ooha haaa -Busta
4. Gangstaz paraise - Coolio
5. I've got 5 on it -Luniz
6. Califonia love-2pac
7. May way -Usher
8. How deep is love
9. X- xzibit
10. Set it off-equalize noise ft queen latifa
Hii generation ya kina Dre, Snoopp, 2pac kilitisha sana. Makundi kama SWV, Salt n Peper, Lost boyz, Boyz 2 men
Dah hiyo ilikuwa 90 kwa sasa tunaita oldskool.
RRONDO unamjua dada Nunchelant na ngoma yake 5 oclock in the morning. Mama ka flow mbaya.
Mimi namkumbuka sana na make ups zake.