Kwa Wale Wahenga, Ulikuwa Unasikiliza Muziki Gani....?

Kwa Wale Wahenga, Ulikuwa Unasikiliza Muziki Gani....?

Umenikumbusha kuna group ilikuwa inaitwa Afrika Bambataa. Ni hatari.
Afrika bambataa was not a hiphop duo and he is not.... huyu ni producer na disc jockey...

Jamaa ndiye alikuwa anawafanyia mambo The five furious.. kina cowboy na wenzake. Alichanganya ladha za kiafrika kwenye production zake.
 
You are all I need

Method Man feat Mary J Blige.

Greatest hip hop love song ever!

It won a Grammy, btw.
Fukc Mr. President yo doesn't present gheto resident.. moja ya freestyle zake walikuwa wana battle na Wu.
 
oldschool... were contemplative in terms of writing their rhymes and looking to make their music as effective as possible, as they looked.

Ila mlikuwa washamba... sasa mfano hizo pigo za Yo Yo na Mc lyte ndiyo nini sasa [emoji23] [emoji23] .

Cc Asprin
 
Kwa wakati huo ndio wajanja...
 
You are all I need

Method Man feat Mary J Blige.

Greatest hip hop love song ever!

It won a Grammy, btw.
Hahaha...

Shorty I'm there for you anytime you need me
For real girl, it's me in your world, believe me
Nuttin make a man feel better than a woman
Queen with a crown that be down for whatever
There are few things that's forever, my lady
We can make war or make babies
Back when I was nothin
You made a brother feel like he was somethin
That's why I'm with you to this day boo no frontin
Even when the skies were gray
You would rub me on my back and say "Baby it'll be okay"

Man... Hii ngoma kweli ni Greatest HipHop Love Song of all the Time.
 
Mimi ilikuwa marley marl hip hop lives and KRS-one.

Moja ya vichwa vilivyokuwa kwenye The five furious.
Nashangaa KRS-One hakuwahi kushinda tuzo,WTF?

Huyu jamaa anajua,sio freestyle,uandishi mpaka punchline.

Napenda Sana ile ngoma aliyodondoka juu ya mdundo wa DJ Premier... MC's act like they don't know.

If you don't know me by now I doubt you'll ever know me
I never won a Grammy, I won't win a Tony
But I'm not the only MC keepin' it real
When I grab the mic to smash a rapper, girls go, "Ill"
Check the time as I rhyme, it's 1995
Whenever I arrive the party gets liver
Flow with the master rhymer, as I leave behind
The video rapper, you know, the chart climber
Clapper, down goes another rapper
Onto another matter, punch up the data, Blastmaster
Knowledge Reigns Supreme Over Nearly Everybody
Call up KRS, I'm guaranteed to rip a party

Hahaha... Nilipenda alipoichambua KRS-One kwamba ni Knowledge Reigns Supreme Over Nearly Everybody
 
alikuja kuchukua baadae BET lakini nafikiri as a legend.

Zamani kulikuwa na mafundi wengi Nafikiri hata watoa tuzo walikuwa wanapata wakati mgumu saana. Wewe fikiria krs,rakim,nas,puff,Wu,tribe,gangstarr..n.k

JE, bridge is over?? Hii ndiyo feud ya kwanza kuifuatilia kwenye Hiphop.
 
Moja kati ya ngoma nilizokuwa nazikubali
1. Too close - Next
2. I wanna be your only one - intenal
2. It a parts- Busta Rhymes
3. Ooha haaa -Busta
4. Gangstaz paraise - Coolio
5. I've got 5 on it -Luniz
6. Califonia love-2pac
7. May way -Usher
8. How deep is love
9. X- xzibit
10. Set it off-equalize noise ft queen latifa
Hii generation ya kina Dre, Snoopp, 2pac kilitisha sana. Makundi kama SWV, Salt n Peper, Lost boyz, Boyz 2 men

Dah hiyo ilikuwa 90 kwa sasa tunaita oldskool.

RRONDO unamjua dada Nunchelant na ngoma yake 5 oclock in the morning. Mama ka flow mbaya.
Nonchalant.... 5 oclock in the morning... Moja ya nyimbo zangu bora wakati wote jinsi demi anavyoflow... Beat ya wimbo.... Ukichukulia pia nlipigwa kabali moja mbaya sana alfajir moja hv mitaa ya wailes temeke natokea zangu club imasco....

Miss Eliot...get freek on
Eve... Gotta man
Mc lyte...keep on keping
Aaliyah.....down with the qlique
Brandy....lm gonna be down
Adina howard.... Frek like me
Marry j blidge....

Kati ya marapa wa kike nliokuwa nawakubali sana
 
Back
Top Bottom