Kwa Wale Wahenga, Ulikuwa Unasikiliza Muziki Gani....?

Ha ha ha. Ha. Ha ha kwahio mkuu ukisikia huo wimbo unakumbuka ile kabali ya saa kumi na moja alfajiri.....!
 
Ila kwenye kuflow kwa madem. Da Brat alikuwa ni mkali chini ya produzer jermain . Kuna albam yake moja hivi inakwenda kwa jina Top of world mama kachana vibaya.

Mkali mwingine ni Queen Latifa. Msikie kwenye ngoma set it off ambayo pia wimbo umetumika kama sound track kwenye sinema inayoenda kwa jila la set it off. Flow yake ni nouma. Mwenye maujanja aiweke hiyo video hapa. Ni sheeda
 
Kuna Kijana mmoja kutoka Southampton Craig David-7 days na mwingine alipiga kibao cha Same OI'G anaitwa Ginuwine.Hawa vijana walinivutia sana sijui kama bado wapo kwenye Ulingo wa muziki
 
Kuna Kijana mmoja kutoka Southampton Craig David-7 days na mwingine alipiga kibao cha Same OI'G anaitwa Ginuwine.Hawa vijana walinivutia sana sijui kama bado wapo kwenye Ulingo wa muziki
Aisee Craig David umenikumbusha mbali..kuna Im Walking Away na Rendevouz nilikuwa nazipenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…