Kwa Wale Wahenga, Ulikuwa Unasikiliza Muziki Gani....?

Kwa Wale Wahenga, Ulikuwa Unasikiliza Muziki Gani....?

Ha ha ha. Ha. Ha ha kwahio mkuu ukisikia huo wimbo unakumbuka ile kabali ya saa kumi na moja alfajiri.....!
Nonchalant.... 5 oclock in the morning... Moja ya nyimbo zangu bora wakati wote jinsi demi anavyoflow... Beat ya wimbo.... Ukichukulia pia nlipigwa kabali moja mbaya sana alfajir moja hv mitaa ya wailes temeke natokea zangu club imasco....

Miss Eliot...get freek on
Eve... Gotta man
Mc lyte...keep on keping
Aaliyah.....down with the qlique
Brandy....lm gonna be down
Adina howard.... Frek like me
Marry j blidge....

Kati ya marapa wa kike nliokuwa nawakubali sana
 
21737b5fe15d39cca4b8f14bb321ae09.jpg

Jamaa wa uncle sum... brother Ali
 
Nonchalant.... 5 oclock in the morning... Moja ya nyimbo zangu bora wakati wote jinsi demi anavyoflow... Beat ya wimbo.... Ukichukulia pia nlipigwa kabali moja mbaya sana alfajir moja hv mitaa ya wailes temeke natokea zangu club imasco....

Miss Eliot...get freek on
Eve... Gotta man
Mc lyte...keep on keping
Aaliyah.....down with the qlique
Brandy....lm gonna be down
Adina howard.... Frek like me
Marry j blidge....

Kati ya marapa wa kike nliokuwa nawakubali sana
Ila kwenye kuflow kwa madem. Da Brat alikuwa ni mkali chini ya produzer jermain . Kuna albam yake moja hivi inakwenda kwa jina Top of world mama kachana vibaya.

Mkali mwingine ni Queen Latifa. Msikie kwenye ngoma set it off ambayo pia wimbo umetumika kama sound track kwenye sinema inayoenda kwa jila la set it off. Flow yake ni nouma. Mwenye maujanja aiweke hiyo video hapa. Ni sheeda
 
Kuna Kijana mmoja kutoka Southampton Craig David-7 days na mwingine alipiga kibao cha Same OI'G anaitwa Ginuwine.Hawa vijana walinivutia sana sijui kama bado wapo kwenye Ulingo wa muziki
 
Kuna Kijana mmoja kutoka Southampton Craig David-7 days na mwingine alipiga kibao cha Same OI'G anaitwa Ginuwine.Hawa vijana walinivutia sana sijui kama bado wapo kwenye Ulingo wa muziki
Aisee Craig David umenikumbusha mbali..kuna Im Walking Away na Rendevouz nilikuwa nazipenda sana
 
Back
Top Bottom